Tanzania kujigharamia uchaguzi yenyewe

Wanatengeneza kura za kuchakua kama ule uchaguzi wa 2020 chini ya Magufuli.
 
Uchwguz Uchwaguzi gani tena?
 

Attachments

  • 20250611_155416.jpg
    71.4 KB · Views: 19
Watoto wa "kwa mhaya" pale Kigamboni mna matusi kama waliowaleta duniani.

Wewe unauzia wapi "iwe"!!??
Ni bahati mbaya sana nimezaliwa Hindu Mandal Hospital, nimebatizwa St. Peters Oysterbay, nimesoma vidudu Mlimani Primary School, la kwanza Mapambano Primary School karibu na Afrika Sana. Nimepokea Ekaristi Takatifu katika Parokia ya Maximilian Kolbe Mwenge. Lakini cha ajabu SIJAWAHI KUFIKA KIGAMBONI!
 
Haiwezi saida, nchi maskini ,yenye watu maskini namna hii , ccm wajitangaze ,maisha mengine yaendelee
 
Muulize mama yako, "MNF" wa "Koroshoni" anamfahamu, then atakwambia kama hakuwa anafanya "shughuli" Kigamboni.
 
Mmesahau hela tayari ilikujaga na wale ndugu zenu wavaa vilemba na nguo nyeupe. Na walishapewa kipande cha maji pale mitaa ya mzizima wakishugulikie milele haitoshi wamepewa misitu huko maeneo watunze wanyama shida iko wapi kwani
 
Tume ya uchaguzi ya Nape ipo.

Tunataka tume huru ya kusimamia kura ya mtanzania sio tume ya uchaguzi ya Nape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…