Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Tanzania kulipiza kwa nguvu zaidi kufuatia Kenya kuwakataza Watanzania kuingia Kenya

Tanzania itakapoanza kuchukua hatua kwa mfumo wa reciprocity Kenya wasianze kupiga simu na kulialia. Watu watapanda Ethiopian Airlines, Qatar, KLM na nyinginezo wasipitie kabisa Kenya.
 
Ukishakuwa na communal transmissions za kumwaga, ni uzwazwa kuwazuia wageni kuja. Worst case scenario ambia kila anayetaka kuja either aje na PCR tested negative within siku kadhaa au muweke karantini. Kuzuia selectively baadhi ya Nchi ni kutengeneza uhasama kindezindezi
 
Back
Top Bottom