joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Magufuli amefika Dar es Salaam jioni hii toka akitokea kumzika Mkapa huko Mtwara, Kenya ijiandae kwa "retaliation" kali sana kuanzia Jumatatu ijayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu wanaogopa Tanzania tunaweza wapelekea ugonjwa sioni kama busara kuwaacha wao waingie kuchukua ugonjwa kwa hiyari yao,sasa lazima tufanye jambo ili twende sawa
Nikuhakikishie kwamba Tanzania huwa haikurupukagi.Acheni uchochezi awa ni ndugu zetu mipaka waliweka wazungu kwanini tubaguane? Magufuli hawezi kuendekeza ujinga najua atampigia Kenya wataelewana tu.
Lugha ya mjumbeMagufuli hakuna kama yeyeeeeee,keep on moving,he iz awa heroo,tupo pamoja na yeye daima,yupo kwa maslai ya wengi na si wachache
Na ikiwezekana walimu wote wa kikenya na raia wote wa kenya wanaoishi humu wafukuzwe tu.Ingependeza zaidi wapigwe marufuku na raia wa Kenya kuja Tanzania[emoji1241]
Wewe ndo unaelewa hilo kwamba Mkenya ni ndugu yako ila Mkenya haelewi hilo, ngoja nkusaidie kdg ni kwamba Tz hatuna undugu na Kenya hata wa kumulika na tochi.Acheni uchochezi awa ni ndugu zetu mipaka waliweka wazungu kwanini tubaguane? Magufuli hawezi kuendekeza ujinga najua atampigia Kenya wataelewana tu.
Lugha ya mjumbe