Mkiifungia ka mtawatesa watz wenu tu.KQ ipigwe Stop kuingia Bongo
Huu ujinga umepitiliza
Mbna sio ATCL[emoji23][emoji23]Tanzania itakapoanza kuchukua hatua kwa mfumo wa reciprocity Kenya wasianze kupiga simu na kulialia. Watu watapanda Ethiopian Airlines, Qatar, KLM na nyinginezo wasipitie kabisa Kenya.
Kwani unadhani Dar slum ni mbinguni?Ingependeza zaidi wapigwe marufuku na raia wa Kenya kuja Tanzania[emoji1241]
Sipendi fanatics wa jambo lolote iwe siasa au michezo. Wanakuanga wajinga sana. Wewe ukiwa mmoja waoMagufuli hakuna kama yeyeeeeee,keep on moving,he iz awa heroo,tupo pamoja na yeye daima,yupo kwa maslai ya wengi na si wachache
Labda Prague.Kwani unadhani Dar slum ni mbinguni?
Kweli mkuuWw ndo unaelewa hilo kwmb mkenya ni ndugu yako ila mkenya haelewi hilo, ngj nkusaidie kdg ni kwamba Tz hatuna undugu na kenya hata wa kumulika na tochi.
Wewe wacha uchokoziLabda Prague.
Hivi kabisa nafunga safari naenda kenya?.
Sijitaki?.
Ona wanavyo kufa.
Sasa hivi corona inawaua wakenya KUSHINDA MAFURIKOView attachment 1522156
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app