Tanzania kuna fursa nyingi lakini ukitumia hiyo fursa watu wanakuiga

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Tanzania ndio nchi pekee wanasubiri ufanye jambo wakiona lina lipa nawao wanaiga copy and paste bila kubadilisha.

mfano USA aliyebuni viungo vya KFC uwezi kukuta mwengine anafanya kama wewe unachoma kuku kwa tangawizi yeye atachoma kuku kwa binzari.
Kama wewe huduma zako saa fulani huyu huduma zake saa nyengine au siku nyingine.

Wenzetu wanajua kujitofautisha kibiashara na kimaeneo.
Kama ni mtaa unauza sim basi ni simu tupu.kama ni electronic ni electronic,kama ni migahawa ni migahawa tu.

Huku kwetu kukuta bar na nyumba za ibada zipo eneo moja ni kawaida.
 
Hii ni changamoto tuliyonayo eneo la uchumi na ndio maana kuna biashara nyingi huwa zinakufa wakati zilishakuwa na mwanzo mzuri na zingeweza kukua sana hapo baadae.

Mtu anaweza kuja na idea ya mapishi ya kiarabu kwa mfano biriani,mandi na kadharika ambayo sio mapishi ya utamaduni kwa Tanzania baada ya mwaka utashangaa kila mtu anapika biriani na mandi na kujiita yeye ni bora zaidi.

Of course ushindani ni kitu kizuri na hata huko nje upo sana. Ila jambo zuri ni kumaintain standards zako mwenyewe. Coca-Cola na Pepsi ni soda zinafanana ila zina taste tofauti na wateja wanajua tofauti zao so wanachagua pa kununua kwasababu ya utofauti.

So kimsingi,ni vema kujifunza ubunifu wa kibiashara. Mimi ukiniiga biashara yangu niliyobuni kwa akili nyingi,nitakufanyia figisu hadi uifunge.😂😂😂
 
Si ndio tunapita changanyikeni!
 
Utaniwekea mende!
 
Utaniwekea mende!
Mara utashangaa TRA hawa hapa,kesho mamlaka ingine,mara haujakaa sawa Balaza la mitihani hawa hapa,hujakaa sawa traffic wanakuandikia fine, huku na huku mamlaka ys bandari wanataka chao, mtondogoo asubuhi BAKITA hawa hapa, mchana COSOTA hao,haujaenda kulala SUMA JKT hao hapo.

Hadi utajua kuwa umevamia kambi yangu ninakuadhibu kisawa sawa.
 
Tanzania ndio nchi pekee wanasubiri ufanye jambo wakiona lina lipa nawao wanaiga copy and paste bila kubadilisha.

mfano USA aliyebuni viungo vya KFC uwezi kukuta mwengine anafanya kama wewe unachoma kuku kwa tangawizi yeye atachoma kuku kwa binzari.
Kama wewe huduma zako saa fulani huyu huduma zake saa nyengine au siku nyingine.

Wenzetu wanajua kujitofautisha kibiashara na kimaeneo.
Kama ni mtaa unauza sim basi ni simu tupu.kama ni electronic ni electronic,kama ni migahawa ni migahawa tu.

Huku kwetu kukuta bar na nyumba za ibada zipo eneo moja ni kawaida.
Tatizo hatujui kuficha recipe (yaani ule mchanganyiko wa viungo) sisi ni wepesi sana kutoa siri za mafanikio yetu, kama wewe ni mpishi mashuhuri watu hawatakiwi kujua namna unachanganya viungo vyako, kwa hiyo hata mtu akiiga hawezi kupika kama wewe, kuna watu na akili zao nyingi muda huu wamejifungia mahali wanatafuta namna Mjapan alitengeneza Toyota Land Cruiser lkn mpk kesho hawatakaa wajue...kama ni biashara wafuatilie vizuri waliofanikiwa, hutakaa ujue chimbo lao wanapopata mzigo, lkn pia kuna kitu kinaitwa "trade mark" unasajili biashara yako kisheria, mtu akiiga unampeleka kwenye nyombo vya sheria.
 
So kimsingi,ni vema kujifunza ubunifu wa kibiashara. Mimi ukiniiga biashara yangu niliyobuni kwa akili nyingi,nitakufanyia figisu hadi uifunge.😂😂😂
suluhisho la haya yote ni kupata Trade Mark basi!! mtu akiingia kichwa kichwa unamshitaki....
 
Hata ulaya watu wana igana sana tu...imagine kusinge kuwa na COCACOLA je pepsi ingepatikana...?

Hata huyo KENTUCK FRIED CHICKEN 🍗 mwenye yupo na wapinzani kibao...kikubwa ni ku mantain good service tu...usiache kufanya kwa kuhofia kuigwa...!​
 
Tanzania ndio nchi pekee wanasubiri ufanye jambo wakiona lina lipa nawao wanaiga copy and paste bila kubadilisha.

mfano USA aliyebuni viungo vya KFC uwezi kukuta mwengine anafanya kama wewe unachoma kuku kwa tangawizi yeye atachoma kuku kwa binzari.
Kama wewe huduma zako saa fulani huyu huduma zake saa nyengine au siku nyingine.

Wenzetu wanajua kujitofautisha kibiashara na kimaeneo.
Kama ni mtaa unauza sim basi ni simu tupu.kama ni electronic ni electronic,kama ni migahawa ni migahawa tu.

Huku kwetu kukuta bar na nyumba za ibada zipo eneo moja ni kawaida.
Sasa kukuta baa na nyumba ya ibada mtaa mmoja nani kaiga mwenzake?
 
suluhisho la haya yote ni kupata Trade Mark basi!! mtu akiingia kichwa kichwa unamshitaki....
Trade mark itakulinda kwenye muonekano ambao unaweza wachanganya wateja. Mfano logo,alama mpangilio wa rangi na kadhalika vitu ambavyo vitawafanya watu washindwe kutofautisha biashara yako na ya mwingine anaekuiga. Au mtu kutumia jina lako kwenye biashara yake bila ridhaa yako,mfano aite Clouds tv online channel ya on-line na haina uhusiano na Clouds Media
 
Duuh hii lazima ufunge Banda, Traffic mgahawani!
Nawalipa wakutafutie kosa lolote ambalo kisheria litaonekana lina uhalali. Mfano,wanakuandikia kwa kosa la kuendesha biashara bila kufunga mkanda wa uchumi na kuzingatia alama za barabara ya maendeleo.

Hili kosa mahakamani unakesi ya kujibu.
 
Kwa mfano nilibuni style yangu fulani ya kujamiiana lakina nikashangaa kuona watu wameshaniiga sijui ni yule mpenzi wangu ndiye iliyeusambaza ule ubunifu!

Tabia ya kuiga ni mbaya sana
 
Nchi haijafunguka kuruhusu hizo fursa kwahiyo ikitokea iliyobamba basi watu wanakwenda nayo kwakuwa wateja wako tayari...
Fikiria mfano kwenye michezo huko walikoendelea riadha in ligi ya mwaka nzima na wakimbiaji wanaishi kwa mishahara, wakimbiza baiskeli, mieleka n.k.
Haya kwenye hizo bidhaa za kiwandani wao wana nguvu ya manunuzi kwahiyo ukija na kitu kipya wateja wapo, lakini sisi kwakuwa umaskini umetamalaki inabidi upambane mgawane wateja wale wale..
 
Hata ulaya watu wana igana sana tu...imagine kusinge kuwa na COCACOLA je pepsi ingepatikana...?

Hata huyo KENTUCK FRIED CHICKEN 🍗 mwenye yupo na wapinzani kibao...kikubwa ni ku mantain good service tu...usiache kufanya kwa kuhofia kuigwa...!​
Kuna story kuwa mfanyakazi wa Coca-cola aliiba formula ya Coca-cola akaenda kwa siri Pepsi awauzie kwa kiasi kikubwa cha pesa ambacho Pepsi wangeweza mlipa. Ila kwakuwa wenzetu wana kitu kinaitwa kujitambua na uungwana basi wakamkataa na kumripoti kwa management ya Coca-cola aka kamatwa na kushitakiwa.
 
Kwa mfano nilibuni style yangu fulani ya kujamiiana lakina nikashangaa kuona watu wameshaniiga sijui ni yule mpenzi wangu ndiye iliyeusambaza ule ubunifu!

Tabia ya kuiga ni mbaya sana
Hahaha ipi Hiyo muu kifo Cha mende missionary (universal style), BDSM, cuckold, gangbang, doggy style, Japanese uncensored, POV, teen 18+, bigass, MILF, Mature, granny, creampie, handjob, fisting .....

To yeye Evelyn Salt Joannah

Nyau de adriz
 
Mara utashangaa TRA hawa hapa,kesho mamlaka ingine,mara haujakaa sawa Balaza la mitihani hawa hapa,hujakaa sawa traffic wanakuandikia fine, huku na huku mamlaka ys bandari wanataka chao, mtondogoo asubuhi BAKITA hawa hapa, mchana COSOTA hao,haujaenda kulala SUMA JKT hao hapo.

Hadi utajua kuwa umevamia kambi yangu ninakuadhibu kisawa sawa.
Hii itakuwa biashara gani inahusisha mamlaka zote hizo mkuu?
 
Back
Top Bottom