Hizo kodi zote hata huko nje zipo.Mara utashangaa TRA hawa hapa,kesho mamlaka ingine,mara haujakaa sawa Balaza la mitihani hawa hapa,hujakaa sawa traffic wanakuandikia fine, huku na huku mamlaka ys bandari wanataka chao, mtondogoo asubuhi BAKITA hawa hapa, mchana COSOTA hao,haujaenda kulala SUMA JKT hao hapo.
Hadi utajua kuwa umevamia kambi yangu ninakuadhibu kisawa sawa.
Kwanza TZ kuna kuleana sana.
Unakuta amekata leseni ya rejareja, ila anauza jumla, anauza mpaka pombe na vifaa vya umeme.
Mtu ana guest house ila ana leseni ya grocery tu.
Nenda tu hapo Kenya, hizo ni biashara 4 kabisa.