Tanzania kuna huduma za kuchangia mbegu?

Tanzania kuna huduma za kuchangia mbegu?

Joined
Aug 7, 2024
Posts
8
Reaction score
5
Mimi nauliza tu,

Hivi Tanzania kuna sehemu Ke au Me anaweza kuchangia mbegu au yai ili kupata mtoto bila wazazi kukutan kimwili?
 
Egg /sperm donation bongo nazani bado.
Na ni fursa nzuri sana Sijui Kwanini wenye taaluma hizo hawa hangamkii fursa.
Of course huwa inaendana sambamba na utendaji kazi mzuri wa huduma za IVF ambazo nazi kwa bongo accuracy percentage huenda ni hivyo hivyo ukilinganisha na nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom