Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Naomba utuambie wewe Tanzania ina makabila mangapiHakuna list kama hiyo hapa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba utuambie wewe Tanzania ina makabila mangapiHakuna list kama hiyo hapa Tanzania.
sawa kabisa mkuu ujakoseaHakuna kabila la waarusha.arusha ni eneo.kabila ni masai.hao wanaojiita waarusha ni wamasai waliotoka kuchunga ng"ombe wakakimbilia arusha kulima.baada ya kumiliki maeneo mengi ya kilimo ndo wakaanza kujitofautisha na wale wa kijijini wanaofuga mifugo na ndipo hapo wakaanza kujiita waarusha.Ila lugha na tamaduni ni zile zile japo kwa miaka ya karibu vitu hivyo vimeanza kuathirika kwasababu yakimazingira.
Hakuna namba rasmi ya makabila ya Tanzania. serikali haipendi takwimu za namna hiyo.Naomba utuambie wewe Tanzania ina makabila mangapi
Muongozo nimeupata na kukubaliana na wale wote wanao sema waarusha ni Wamasai wa mjini ambao wanakataa asili yao.Natumae mleta mada umepata muongozo...
Hii inaweza kuwa kweli kwa asilimia zaidi ya 90Waarusha,ni sub tribe ya Maasai ambapo kihistoria kabila lao lilitokana na wamasai walioasi mila na desturi za kimasai kwa kufanya baadhi ya mambo ambayo sio mafundisho wala mapokeo ya kimasai,na neno 'waarusa'kwa kimasai ni waliokengeuka kwa tafsri rahisi,...moja ya makengeuko ya enzi hizo ni kuooana na wanawake wa kibantu,......wanaishi pembezoni mwa jiji la Arusha ni viunga vyake..koo maarufu ni Laizer,mollel,na lukumay..
N:B..wana tabia za wivu,husda,ubinafi,kupenda kesi na kujiona wajanja pindi ukiingia kwenye kona zao.
Sijui ulisomea wapi? Eti wewe ndiye msimamizi,sijui hata kazi ulipataje,Wakuu nipo sehemu fulani hapa kuna vijana wanajaza fomu fulani hivi mimi nikiwa kama msimamizi wa hili zoezi kuna jambo linanitatiza hapa kidogo.
Katikati hizo fomu kuna kipengele cha kujaza kabila lako sasa vijana wengi kutoka Mkoa wa Arusha katika hiki kipengele wanajaza kabila lao MUARUSHA.
Hapa nabaki najiuliza mbona hili Kabila sijawahi kulisikia na hata katika ile list yetu ya mkeka wa makabila zaidi ya 120 sijawahi kuona hili kabila?
Pembeni yangu kuna vijana wameniambia hilo kabira ila nawasikia wanaongea KIMASAI. Najiuliza au ndugu zetu WAMASAI mmeamua ku edit jina la kabila lenu kutoka MAASAI na kuwa WAARUSHA?
Kama ni hivyo kwani nyie ndugu zetu hamuijui LEGACY ambayo kila Siku MATAGA wanaihubiri humu ndani? Naomba tusipoteze LEGACY.
Wana utofauti SEMA na wao hujiita wamasai tuukiacha lugha, je unaweza kuwatofautisha vipi Waarusha na Wamaasai?
Huwa ni wachaga ila in short Kuna makabila kama matano ni vile waliunganishwa ni Kama wamasai na waarusha tuEnhee tulia hapo hapo, hivi hawa wachagga linipokuja suala la kabila huwa wanajiandikisha kama wachagga…. au kila wao kivyao?
Yaani Mmarangu, Mmachame, Mrombo, Mkibosho etc…. kwa maana inasemekana kila wao na lugha yao!
pia wanapenda kupiga vyunguWaarusha,ni sub tribe ya Maasai ambapo kihistoria kabila lao lilitokana na wamasai walioasi mila na desturi za kimasai kwa kufanya baadhi ya mambo ambayo sio mafundisho wala mapokeo ya kimasai,na neno 'waarusa'kwa kimasai ni waliokengeuka kwa tafsri rahisi,...moja ya makengeuko ya enzi hizo ni kuooana na wanawake wa kibantu,......wanaishi pembezoni mwa jiji la Arusha ni viunga vyake..koo maarufu ni Laizer,mollel,na lukumay..
N:B..wana tabia za wivu,husda,ubinafi,kupenda kesi na kujiona wajanja pindi ukiingia kwenye kona zao.
Aliongea ukweli wale ni wahamiaji wa Waka adopt tabia za kimasai na hao wa Arusha na wamasai waporoni tofauti kabisa, Kwanza waarusha wakorofi na wapenda ugomvi mno tofauti na wamasai wavaa rubegaalikudanganya...waarusha ni mtoto wa mmasai na mchaga
Nimekuwepo nasoma shule y msingi miaka ya 1970. kuna kabila linaitwa waarusha. wao wanazungumza kimasai kilaini yaa hawana rrrr nyingi katka kimadai chao. wanaishi maeneo yanayozunguka arusha mpaka oldonyosambu. wanaishi mpaka mpakani na kenya. wao huwaita wamasai watu wa porini. wanalima ndizi, kahawa, mahindi nk. Ni kama wameru tu ila pia ni wafugaji.Wakuu nipo sehemu fulani hapa kuna vijana wanajaza fomu fulani hivi mimi nikiwa kama msimamizi wa hili zoezi kuna jambo linanitatiza hapa kidogo.
Katikati hizo fomu kuna kipengele cha kujaza kabila lako sasa vijana wengi kutoka Mkoa wa Arusha katika hiki kipengele wanajaza kabila lao MUARUSHA.
Hapa nabaki najiuliza mbona hili Kabila sijawahi kulisikia na hata katika ile list yetu ya mkeka wa makabila zaidi ya 120 sijawahi kuona hili kabila?
Pembeni yangu kuna vijana wameniambia hilo kabira ila nawasikia wanaongea KIMASAI. Najiuliza au ndugu zetu WAMASAI mmeamua ku edit jina la kabila lenu kutoka MAASAI na kuwa WAARUSHA?
Kama ni hivyo kwani nyie ndugu zetu hamuijui LEGACY ambayo kila Siku MATAGA wanaihubiri humu ndani? Naomba tusipoteze LEGACY.
Acha ukichaa wewe hata neno historia lenyewe hujui kuandika [emoji706][emoji706]Sijui ulisomea wapi? Eti wewe ndiye msimamizi,sijui hata kazi ulipataje,
Ni hasara kwa Taifa kuwa na watumishi mabumunda ya namna hii yasiyojua hata hisitoria.
hapo tuko pamojaWaarusha ni wamasai, ila wao wamepunguza ukali wa Mila za Kimasai.
Unaweza sema ni wamasai walioachana na Mila zao na kuchukua mambo ya mjini. Makazi Yao ni Arusha Mjini. (Manispaa ya Arusha)
"kabira" ndio nini?Wakuu nipo sehemu fulani hapa kuna vijana wanajaza fomu fulani hivi mimi nikiwa kama msimamizi wa hili zoezi kuna jambo linanitatiza hapa kidogo.
Katikati hizo fomu kuna kipengele cha kujaza kabila lako sasa vijana wengi kutoka Mkoa wa Arusha katika hiki kipengele wanajaza kabila lao MUARUSHA.
Hapa nabaki najiuliza mbona hili Kabila sijawahi kulisikia na hata katika ile list yetu ya mkeka wa makabila zaidi ya 120 sijawahi kuona hili kabila?
Pembeni yangu kuna vijana wameniambia hilo kabira ila nawasikia wanaongea KIMASAI. Najiuliza au ndugu zetu WAMASAI mmeamua ku edit jina la kabila lenu kutoka MAASAI na kuwa WAARUSHA?
Kama ni hivyo kwani nyie ndugu zetu hamuijui LEGACY ambayo kila Siku MATAGA wanaihubiri humu ndani? Naomba tusipoteze LEGACY.
Acha uongo ndgNi makabila mawili tofauti, tena mahasimu kweli kweli.
Hawapendani hata kidogo. Hata kuoana hawaoani
Makabila Mengi ya kaskazini yanafanana mambo mengi sana, kuna tofauti ndogo ndogo sana.
Stupid liesWaarusha ni kabila linaloshabihiana na wamasai Wana asili ya upareni na walikuwa vijakazi wa wamasai ila Waka adopt lugha na tanaduni za kimasai wanakaa Arusha mjini.
N. B hii story nilisimuliwa na Babu wa kimasai.
Coconut head.Stupid lies