Tanzania kuna sehemu nzuri, ona hii hotel kisiwani, ziwa Tanganyika

Waambie na kuhusu bei na watu huku wanaamini eti hoteli hii inamilikiwa na Arnold Schwarzenegger nilishafika ni pazuri sana ipo Kipili-Lake Tanganyika
Kweli sana inaaminika hivyo, hata mimi niliwahi fika hapo tulikuwa na wenzangu kuna kazi tulikuwa tunafanya,
Basi katika mahijiano na meneja wa hotel hiyo tukamuuliza kama ni kweli mmiliki ni. Anorld akasema Hapana ila aliwahi kujaga hapo kutembea,
mmiliki wa hoteli hiyo ni mzungu na wazungu ndo wateja wa hoteli hiyo.,pia kuna kiwanja cha ndege ndogo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…