Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Hapo ni Tanzania? Kama ni Tanzania huyo mzungu anapamilikije? Tanzania kweli siyo maskini aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio mzungu kwa mujibu wa bwana yule, huyo ni beberuHapo ni Tanzania? Kama ni Tanzania huyo mzungu anapamilikije? Tanzania kweli siyo maskini aisee
Hii haipo kigoma iko wilaya ya nkansi mkoa wa rukwaNi kweli sina hela za kwenda kigoma,lkn hela za kwenda Dar,Arusha,Mwz,Zenji Mungu hakuninyima.
Asante mkuu.Hii haipo kigoma iko wilaya ya nkansi mkoa wa rukwa
Lupita au kipili mkuuHapana Mkuu sinaga mambo ya madanga, kazi ndio iliyonifikisha mpaka hapo
Mpka uwachokoze,dharau za kijinga na mambo kama hayo...Vipi kuhusu wachawi,,[emoji849][emoji849] hapo sumbawanga,tutatoboa?
Ndio mkuu,mwenye lake shore alikuwa mfanyakazi wa hapo lupita kwa macho ya kawaida,aliacha akafungua lakeshore ni mzungu wa southOk, thanx, kumbe kuna lupita na lake shore
Na alipanunua kwa bei ya kawaida sanaHapo ni Tanzania? Kama ni Tanzania huyo mzungu anapamilikije? Tanzania kweli siyo maskini aisee
Jina linakuja linakata,pruva,joro,jina gani unalifahamu hapo[emoji22]
[emoji22] [emoji22] [emoji22] umenikumbusha enzi zangu naitwa Rasi [emoji22][emoji22]nilikuwa bado kijana mbichi kabisa hizo sehemu zote hapo napajua, good memories
Embu tuone hizo clip za hizo muvi zikionyesha hilo eneo
Inaitwa Lupita
Mambo ya pesaYaan kuna mazingira ukienda unapona kila kitu unachoumwa
Hiyo tunaita kitu na boxMchawi pesa tu
The blessed and virgin COUNTRY...😍😍😍
Dunia YAO...Wanafaidi wazungu
👍Ukiwa follow hawa jamaa Tanzania hotels,ndiyo utakuja kuamini tanzania kuna hotel za ukweli kichizi
Acha tu....Mabeberu wanafaidi sana