Ni ngumu sana kuwabadilisha wenyeji wa Kigoma, Katavi na Sumbawanga kwamba hiyo Hotel siyo ya Swazinigga. Maana amekuwa akifika hapo Hotelini mara kadhaa na Last tym ilikua 2016. Pia inaaminika kwamba Misitu inayoonekana kwenye zile Movie zake pia ni ya huko Tongwe Forest Mpanda ambako alikuwa akija kurecord kazi zake na Hotel hiyo pia ilitumika sana kama Camping site wakati wa kurecord Kazi za Anold.Kweli sana inaaminika hivyo, hata mimi niliwahi fika hapo tulikuwa na wenzangu kuna kazi tulikuwa tunafanya,
Basi katika mahijiano na meneja wa hotel hiyo tukamuuliza kama ni kweli mmiliki ni. Anorld akasema Hapana ila aliwahi kujaga hapo kutembea,
mmiliki wa hoteli hiyo ni mzungu na wazungu ndo wateja wa hoteli hiyo.,pia kuna kiwanja cha ndege ndogo hapo