Tanzania kuna sehemu nzuri, ona hii hotel kisiwani, ziwa Tanganyika

Ni ngumu sana kuwabadilisha wenyeji wa Kigoma, Katavi na Sumbawanga kwamba hiyo Hotel siyo ya Swazinigga. Maana amekuwa akifika hapo Hotelini mara kadhaa na Last tym ilikua 2016. Pia inaaminika kwamba Misitu inayoonekana kwenye zile Movie zake pia ni ya huko Tongwe Forest Mpanda ambako alikuwa akija kurecord kazi zake na Hotel hiyo pia ilitumika sana kama Camping site wakati wa kurecord Kazi za Anold.
 
Embu tuone hizo clip za hizo muvi zikionyesha hilo eneo
 
 

Attachments

  • IMG-20201024-WA0009.jpg
    53.1 KB · Views: 8
Tunaweza enda tena πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
 
Panda gari hadi sumbawanga mjini, halafu upande gari za Kwenda kipili then upande boat πŸ›₯ za kwenda huko kisiwani,
Ushampoteza nduguyo apande basi la Sumbawanga Majinja atafika huyo?ataishia S wanga
Toa ramani ya karibu kwa wanaotoka duniani sio hapo Bongo huyo we mpe ramani ya kwenda Kidimbwi beach au mikadi atakushkuru baadae huko kisiwani tuwekee mikakati tulete watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…