Tanzania kuna sehemu nzuri, ona hii hotel kisiwani, ziwa Tanganyika

Ccm Ilisema Kigoma Itakuwa Dubai
Nasema Uongo Ndugu Zangu?
Ndiyo Ukweli Wenyewe!!

Kigoma Inapaa Sasa Hivi, Shukrani Sana Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Mitano Tena. πŸ˜€πŸ˜
 
Panda gari hadi sumbawanga mjini, halafu upande gari za Kwenda kipili then upande boat πŸ›₯ za kwenda huko kisiwani,
Vipi kuhusu wachawi,,πŸ™„πŸ™„ hapo sumbawanga,tutatoboa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…