Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

Kafir ninaweza nikawa hata mimi lakini hayo yameandikwa ili mimi niliye ktk hali hiyo nisome nijitafakari nirudi kwenye njia salama siyo nipite mitaani au popote pale alimradi pana watu ninaohisi wana itikadi tofauti na yangu nianze kuwaita makafir.
Ila tukubaliane kuwa ni makafir hata kama huwaiti hivyo sindio
 
Kafir ninaweza nikawa hata mimi lakini hayo yameandikwa ili mimi niliye ktk hali hiyo nisome nijitafakari nirudi kwenye njia salama siyo nipite mitaani au popote pale alimradi pana watu ninaohisi wana itikadi tofauti na yangu nianze kuwaita makafir.
Ila tukubaliane kuwa ni makafir hata kama huwaiti hivyo sindio
 
Ila tukubaliane kuwa ni makafirhata kama huwaiti hivyo sindio
Tukubaliane tukiwa kama nani?

Mungu unaemuabudu alishawahi kukutokea akakwambia wewe siyo kafir?kama hajawahi wewe unatoa wapi guts za kumwita mwenzako hivyo!
 
Lina ubaya gani hilo neno? Mbona walokole mnawaita wengine walimwengu. Mara wa mataifa. Wakatoliki wanaita wakristo wengine wa madhehebu😀
 
Lina ubaya gani hilo neno? Mbona walokole mnawaita wengine walimwengu. Mara wa mataifa. Wakatoliki wanaita wakristo wengine wa madhehebu😀
 
Kwa kuwa neno lakukwaza nimetamani kufahamu kama kuna sheria inakataza binadamu kuitwa Kafiri Tanzania na kama hakuna hatuoni kama ni muda muafaka kuiweka?
Wacha kujitesa wewe! Kwani kafiri sio mtu, ukiitwa Kafiri unapungukiwa nini, deal na vitu vya maana wacha kujipa stress za kijinga.
 
Ishu kubwa ni kufa na kufufuka hii ni fix laivu Kabisa.
Kupaa tunakubaliana dini zote alipaa.
Kwamba ni Mungu hapo napo hapatoshi yaani Mungu fundi seremala anapewa kazi na kulipwa, kwamba Mungu anakula ugali, anaenda msalani , anachoka? You can't be serious!
Kwaiyo mungu wako sio muweza wa yote?
Namaanisha mungu wako kuna ambavyo hawezi?
 
Nafikiri ungetulia ukaandika vizuri, kusema uislam ni upotevu umekosea, Mungu ndie hakimu. Si vizuri kuponda dini za watu wengine!
Sasa muislam anapomuita asiye muislam kafir,kwa maana asiyeamini Allah na Muhammad si anakuwa kachukua majukumu ya Mungu!!!au unasemaje hili mkuu??
Swali la kwanza:

Yesu alikufa msalabani sawa , akafufuka pangoni sawa, akapaa mbinguni sawa, atarudi duniani kuchukua wateule , je maandiko haya yaliandikwa na binadamu au Mungu? Je mbinguni aliko Yesu hivi sasa ni wapi? je maandiko haya yaliandikwa Yesu akiwa hai au akiwa amekufa? Je biblia iliandikwa na kina nani kwa lengo gani na kwa maslahi ya nani? Je biblia inasemaje Yesu akija duniani akishachukua wateule atapaa nao mbinguni au atawaacha atapaa mbinguni alone?? Au biblia inasema Yesu akishabeba wateule atakufa na kuzikwa nao? Je ikiwa Yesu atakufa na kuzikwa itakuwa Yesu kafa mara ya pili? Mara ya kwanza Yesu alikufa msalabani! Je kuna njia gani ingine ya kuondoka duniani kwa binadamu zaidi ya kufa?? Je kuna ushahidi wa binadamu aliewahi kuondoka duniani kwenda kuzimu kwa kupaa? Je kuna binadamu alikufa in reality , akaoza na akarudi duniani kama atakavyofanya Yesu? Je kuna binadamu anajulikana aliwahi kufa mara mbili? Je wajua vitabu vya secular history kama The History of Ancient World vinamtaja Yesu kama Palestinian boy akiitwa Isah aliepingana na Wayahudi?
Je wajua Paulo ndie muanzilishi wa Christianity? Je wajua kuna injili ya Barnaba inayokatazwa kusomwa?
Je wajua kwa mujibu wa dini yetu maumivu ya mtu kutoka roho ni makali sawa na mbuzi anaechunwa ngozi akiwa hai? Kwahiyo Yesu ataweza maumivu hayo mara Mbili?
Hapa una maswali,dhana,madai yote kwa pamoja haitaeleweka unataka majibu au kuelekezwa,tuache kwanza hapa.
Swali la pili:
Yesu ni mwana wa Mungu sawa, Yesu kazaliwa bila baba sawa, Yesu ni Mungu mwana sawa, ina maana Yesu ni Mungu na Mungu anaumba, sasa ilikuwaje Mungu mwana, Yesu auawe na binadamu dhaifu aliowaumba? Yani binadamu sasa wana nguvu na wanaua Mungu? Yani ni kama vile ufuge kuku aje akuparure hadi akuue?
mkuu dhana ya kufa au kuuawa isikuchanganye ni swala la maamuzi yake tu,issue ni kwamba kufa kwa Mungu wako hakuwezi kuwa kufa sawa na kufa kwako.
Na kama utaamua hii iwe hoja yenye nguvu basi wenye akili nyingi watakuuliza pia,iweje Mungu muweza wa vyote asimuumbe binaadam asiye mwenye kutenda dhambi badala yake anamwachia matundu ya kujaribiwa aje amkamue!!!!same logic.
Yesu ni sehemu ya utatu wa Mungu sawa, utatu mtakatifu sawa, ina maana kuna Mungu watatu sawa,
Huu ni msimamo wako,hakuna Mungu watatu.
ina maana Yesu alipokufa Mungu wenzake, Mungu Baba na Mungu Roho mtakatifu walibaki hai? Mfano ni kama vile pacha walioungana mmoja akifa na mwenzake anakufa au anabaki hai? Ikiwa Yesu Mungu Mwana alikufa msalabani na Miungu wenzake Baba na Roho Mtakatifu wakafa pia, ina maana mda ule dunia haikuwa na Mungu?
Rejea hapo juu.
Swali la tatu (bonus)
Kwanini ili mtoto umuamini Yesu lazima uzamishwe kwenye maji? Ubatizwe! Kwanini hakuna ubatizo kwenye Islam? Kwanini? Sababu mtoto huzaliwa akiwa muislam na mfuasi wa Muhammad SAW. Ili umtoe huko arabuni lazima awe baptized!
hizi nazo ni pumba ambazo mmeambatanishiwa katika uislam,zinazofanya mkristo makini azidi kupata mashaka na utume wa Muhammad.
Wakristo wote,wanajua na kuamini kwamba ubatizo ni kwa ajili ya kuikana dhambi ya asili,hakuna mkristo hata mmoja ana taarifa za Muhammad na uislam wake.
4. Swali La 4
Kwanini hakuna muda wala ruhusa ya kuuliza maswali kanisani kwa Padri wakati wote wa ibada?
sijui utaratibu wa misikitini kama wakati wa sala,huwa unaweza nyoosha mkono kwa imamu ukitaka muongozo ilikuwaje Muhammad akaamini kizembe tu ujumbe wa malaika yule umetoka mbinguni,pamoja na kula kabari ya haja!!!
Au unataka utaratibu huu kanisani peke yake??
Kwanini haitakiwi kuhoji maandiko ya biblia hata pale akili inapokataa kama ile fix ya kuambiwa Yesu alikufa msalabani akafufuka na binadamu tunajua katika uhalisia wa duniani hakuna suala la kufa na kufufuka au binadamu kufa mara mbili maana njia pekee ya kuondoka duniani kwa binadamu ni kufa? How is it possible Mungu kuwa na mtoto, mtoto kuzaliwa bila baba etc? Haya mauzauza ya bible akili timamu haikubali!
ukiona kwa akili timamu umekataa hayo halafu ukakubali Muhammad ni mtume wa Mungu,jua una shida kubwa kichwani,ni either ukubali vyote,au kimoja cha Yesu kufa na kufufuka,huwezi acha ukristo ukawa muislam akili zako zikawa ziko sawa,lazima kuna mazingira tu watu watakuwa wanatilia mashaka akili zako.
Ukijibu maswali yote ambayo hata Papa hawezi kujibu unaweza kuelewa kidogo kuhusu dini ya uislam na labda utaamua kumfuata Mzize!
😃😃😃,yaani ndugu yangu siku ukija kujua papa ni nani,utajilaumu sana.
Mimi nakushauri katafiti kwanza uislam ulitoka wapi,halafu anza kuhoji kwanini papa anaheshimika sana hata akienda saudia,ambako ndiko walezi wa dini ya kiislam.
Kafir ni neno la kiarabu maana yake ni simple tu, yaani mtu asieamini nguzo tano za Islam. Mtu asieamini kuwa Muhammad SAW ni mtume wa Mwenyezi Mungu.
Kama ilivyo kwamba kila gaidi ni muislam,na kila muislam ni gaidi wa akiba😁😁😁
 
Masuala ya kiimani magumu sana.Wewe unaamini Muhammad alipaa mbinguni kwa kupanda buraq.Una tofauti gani na wanaoamini Yesu ni Mungu?Kwamba Muhammad aliongoza swala manabii huko Jerusalem,una tofauti gani na zumaridi?Tukiwaambia Muhammad alitengenezwa na wakatoliki mnakataa.Mbona kila kitu kiko wazi?
Kuna ile nyingine ya Muhammad kwenda mbingu ya 7,alipofika ya 6 muongozaji wake akaishia getini akimwambia yeye haruhusiwi kuendelea palipobakia ni kwa ajili yake Muhammad tu kuingia🤣🤣.

CP huwa anawaambia hawa jamaa kwamba Muhammad alimtengeneza Allah,ambaye akamfanya yuko juu,kisha akadai kampa utume,lakini yeye pia alijipa utukufu.
 
Ishu kubwa ni kufa na kufufuka hii ni fix laivu Kabisa.
Kupaa tunakubaliana dini zote alipaa.
Kwamba ni Mungu hapo napo hapatoshi yaani Mungu fundi seremala anapewa kazi na kulipwa, kwamba Mungu anakula ugali, anaenda msalani , anachoka? You can't be serious!
Dini zote tunakubaliana Muhammad kupanda Buraq?
 
Wagalatia wanavurugwa sana wakisikia neno Kafiri
Mm n mgalatia Ila sijawahi jisikia vibaya kuitwa kafir huwa nashangaa mtu akiweweseka kuitwa kafir na siumii maana Dini n kitu ambacho sikipi uzito maishan
 
Back
Top Bottom