Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hilo swali waulize wanaomwamini.Sasa kama Mudi alikuwa hajui kusoma wala kuandika je, tuna uhakika gani kama hayo Yaliyoandikwa yalitoka kwa Mudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo swali waulize wanaomwamini.Sasa kama Mudi alikuwa hajui kusoma wala kuandika je, tuna uhakika gani kama hayo Yaliyoandikwa yalitoka kwa Mudi
hili neno ni gumu sana, unajua kuna watu hakika wameasi na kumkana Mungu kiasi kwamba wameshaandikiwa kuwa ni watu wa motoni tu hata uwahubirie vipi unapoteza muda, wao wamejiandikisha ni watu wa motoni. hawa ndio wengi wanaoikataa injili ya kweli na kukimbilia imani za kuchinja watu. Mungu awasaidie.Yuda 1:14 “Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo”
Kuna mambo ambayo unatakiwa uyafanye na kuna mambo ambayo hauwezi kuyabadalisha umeumbiwa nayo. Neno kafiri haliambatani na katika mambo uliyoumbwa nayo bali ni katika yale uliyotakiwa uyafanye na mengine uyaache.hili neno ni gumu sana, unajua kuna watu hakika wameasi na kumkana Mungu kiasi kwamba wameshaandikiwa kuwa ni watu wa motoni tu hata uwahubirie vipi unapoteza muda, wao wamejiandikisha ni watu wa motoni. hawa ndio wengi wanaoikataa injili ya kweli na kukimbilia imani za kuchinja watu. Mungu awasaidie.