Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

Kafir ninaweza nikawa hata mimi lakini hayo yameandikwa ili mimi niliye ktk hali hiyo nisome nijitafakari nirudi kwenye njia salama siyo nipite mitaani au popote pale alimradi pana watu ninaohisi wana itikadi tofauti na yangu nianze kuwaita makafir.
Ila tukubaliane kuwa ni makafir hata kama huwaiti hivyo sindio
 
Kafir ninaweza nikawa hata mimi lakini hayo yameandikwa ili mimi niliye ktk hali hiyo nisome nijitafakari nirudi kwenye njia salama siyo nipite mitaani au popote pale alimradi pana watu ninaohisi wana itikadi tofauti na yangu nianze kuwaita makafir.
Ila tukubaliane kuwa ni makafir hata kama huwaiti hivyo sindio
 
Ila tukubaliane kuwa ni makafirhata kama huwaiti hivyo sindio
Tukubaliane tukiwa kama nani?

Mungu unaemuabudu alishawahi kukutokea akakwambia wewe siyo kafir?kama hajawahi wewe unatoa wapi guts za kumwita mwenzako hivyo!
 
Mashetani tu ndio yanapenda kuwaita wengine makafir
 
Lina ubaya gani hilo neno? Mbona walokole mnawaita wengine walimwengu. Mara wa mataifa. Wakatoliki wanaita wakristo wengine wa madhehebu😀
 
Lina ubaya gani hilo neno? Mbona walokole mnawaita wengine walimwengu. Mara wa mataifa. Wakatoliki wanaita wakristo wengine wa madhehebu😀
 
Ukiitwa kafir linakupunguzia Nini au kukuongezea nini
 
Kwa kuwa neno lakukwaza nimetamani kufahamu kama kuna sheria inakataza binadamu kuitwa Kafiri Tanzania na kama hakuna hatuoni kama ni muda muafaka kuiweka?
Wacha kujitesa wewe! Kwani kafiri sio mtu, ukiitwa Kafiri unapungukiwa nini, deal na vitu vya maana wacha kujipa stress za kijinga.
 
Kwaiyo mungu wako sio muweza wa yote?
Namaanisha mungu wako kuna ambavyo hawezi?
 
Nafikiri ungetulia ukaandika vizuri, kusema uislam ni upotevu umekosea, Mungu ndie hakimu. Si vizuri kuponda dini za watu wengine!
Sasa muislam anapomuita asiye muislam kafir,kwa maana asiyeamini Allah na Muhammad si anakuwa kachukua majukumu ya Mungu!!!au unasemaje hili mkuu??
Hapa una maswali,dhana,madai yote kwa pamoja haitaeleweka unataka majibu au kuelekezwa,tuache kwanza hapa.
mkuu dhana ya kufa au kuuawa isikuchanganye ni swala la maamuzi yake tu,issue ni kwamba kufa kwa Mungu wako hakuwezi kuwa kufa sawa na kufa kwako.
Na kama utaamua hii iwe hoja yenye nguvu basi wenye akili nyingi watakuuliza pia,iweje Mungu muweza wa vyote asimuumbe binaadam asiye mwenye kutenda dhambi badala yake anamwachia matundu ya kujaribiwa aje amkamue!!!!same logic.
Yesu ni sehemu ya utatu wa Mungu sawa, utatu mtakatifu sawa, ina maana kuna Mungu watatu sawa,
Huu ni msimamo wako,hakuna Mungu watatu.
Rejea hapo juu.
Swali la tatu (bonus)
Kwanini ili mtoto umuamini Yesu lazima uzamishwe kwenye maji? Ubatizwe! Kwanini hakuna ubatizo kwenye Islam? Kwanini? Sababu mtoto huzaliwa akiwa muislam na mfuasi wa Muhammad SAW. Ili umtoe huko arabuni lazima awe baptized!
hizi nazo ni pumba ambazo mmeambatanishiwa katika uislam,zinazofanya mkristo makini azidi kupata mashaka na utume wa Muhammad.
Wakristo wote,wanajua na kuamini kwamba ubatizo ni kwa ajili ya kuikana dhambi ya asili,hakuna mkristo hata mmoja ana taarifa za Muhammad na uislam wake.
4. Swali La 4
Kwanini hakuna muda wala ruhusa ya kuuliza maswali kanisani kwa Padri wakati wote wa ibada?
sijui utaratibu wa misikitini kama wakati wa sala,huwa unaweza nyoosha mkono kwa imamu ukitaka muongozo ilikuwaje Muhammad akaamini kizembe tu ujumbe wa malaika yule umetoka mbinguni,pamoja na kula kabari ya haja!!!
Au unataka utaratibu huu kanisani peke yake??
ukiona kwa akili timamu umekataa hayo halafu ukakubali Muhammad ni mtume wa Mungu,jua una shida kubwa kichwani,ni either ukubali vyote,au kimoja cha Yesu kufa na kufufuka,huwezi acha ukristo ukawa muislam akili zako zikawa ziko sawa,lazima kuna mazingira tu watu watakuwa wanatilia mashaka akili zako.
Ukijibu maswali yote ambayo hata Papa hawezi kujibu unaweza kuelewa kidogo kuhusu dini ya uislam na labda utaamua kumfuata Mzize!
😃😃😃,yaani ndugu yangu siku ukija kujua papa ni nani,utajilaumu sana.
Mimi nakushauri katafiti kwanza uislam ulitoka wapi,halafu anza kuhoji kwanini papa anaheshimika sana hata akienda saudia,ambako ndiko walezi wa dini ya kiislam.
Kafir ni neno la kiarabu maana yake ni simple tu, yaani mtu asieamini nguzo tano za Islam. Mtu asieamini kuwa Muhammad SAW ni mtume wa Mwenyezi Mungu.
Kama ilivyo kwamba kila gaidi ni muislam,na kila muislam ni gaidi wa akiba😁😁😁
 
Kafiri ni mtu anayeabudu miungu mingine ata kwenye biblia imeandikwa
 
Kuna ile nyingine ya Muhammad kwenda mbingu ya 7,alipofika ya 6 muongozaji wake akaishia getini akimwambia yeye haruhusiwi kuendelea palipobakia ni kwa ajili yake Muhammad tu kuingia🤣🤣.

CP huwa anawaambia hawa jamaa kwamba Muhammad alimtengeneza Allah,ambaye akamfanya yuko juu,kisha akadai kampa utume,lakini yeye pia alijipa utukufu.
 
Dini zote tunakubaliana Muhammad kupanda Buraq?
 
Wagalatia wanavurugwa sana wakisikia neno Kafiri
Mm n mgalatia Ila sijawahi jisikia vibaya kuitwa kafir huwa nashangaa mtu akiweweseka kuitwa kafir na siumii maana Dini n kitu ambacho sikipi uzito maishan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…