Hilo lako litakuwa tabaka la akili mgando maana huwezi kujiongeza kimapato zaidi ya kubetNilijua nipo kwenye tabaka tawaliwa ila nimesoma hapo kuna baadhi ya vigezo sijatimiza, sijaona kigezo cha tunaoendesha maisha kwa kubeti [emoji205]
AhahahahaNaona afisa kilimo anakagua mahindi
Kilimo kwanza hoyee
SawasawaKauli za tabaka tawaliwa.
Utasikia usione watu wanatembelea magari mazuri, au wanalala kwenye magorofa mazuri wanashida kweli kweli
Mahubiri ya kanisa la wanyonge utamsikia mchungaji akiwaambia waumini kuwa wasitamani maghorofa mazuri watu wanatunza mijoka ya kuwaletea utajiri hawana amani na mali zaoSawasawa
Inaitwa Mungu akuakavyo ndivyo uamkavyo walahiKikubwa pumzi
Na ndo wanaokutawala na kuamua mustakabali wako weye mjasiriamali. So hilo tabaka la Mshahara ni tabaka lenye nguvu.Tunahitaji taifa lenye watu wenye entrepreneurship mind set. Hao watawala ni watu wa mshahara
Walalahoi RIP Rev.MtikilaTanzania kuna matabaka 2 makuu, tabaka tawala na tabaka tawaliwa.
1. Tabaka tawala
Hili ni tabaka ambalo wengi husomesha watoto nje ya nchi licha ya wananchi wa tabaka tawaliwa kusotea msosi wa kila siku.
Imagine, watu wanasema vyuma vimekaza lakini Ukraine pekee ilipokea vijana wa Kitanzania zaidi ya 300.
Tabaka hili watoto wao wengi wanasoma Marekani.
Hili tabaka huwezi kuwakuta wakifundisha Namtumbo Secondary school.
Hili tabaka huwezi kuwakuta wakifanya kazi kituo cha police Stakishari.
Hili tabaka huwezi kuwakuta Kariakoo wameinama wanachagua t-shirts za elfu 7 .
Hili tabaka huwezi kuwakuta kwenye daladala kwa namna yoyote labda kwa sababu za kisiasa tu.
Tabaka hili kazi huchagua kwa kuzingatia taasisi, kituo cha kazi na kiwango cha mshahara.
2. Tabaka tawaliwa
Hili tabaka lina mambo mengi, tabaka hili ndilo tunawapata;
-Bodaboda
-Wajasiriamali
-Watumishi wasaidizi kama wanajeshi, police, walimu, madaktari n.k. tena wanaofikia angalau hizi level ni wenye bahati au waliotokea familia zenye unafuu.
- Tabaka hili ndilo huwa mtaji kwa tabaka tawala. Sera za elimu, kilimo, ufugaji wanatungiwa hili tabaka na mtungaji hufanya makadirio tu maana hajui uhalisia wa mateso na mahitaji ya kundi hili.
Je, uko kundi lipi?
Tabaka tawaliwa Ni la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati na familia zao wanao ambiwa kila siku wajiajiriTanzania kuna matabaka 2 makuu, tabaka tawala na tabaka tawaliwa.
1. Tabaka tawala
Hili ni tabaka ambalo wengi husomesha watoto nje ya nchi licha ya wananchi wa tabaka tawaliwa kusotea msosi wa kila siku.
Imagine, watu wanasema vyuma vimekaza lakini Ukraine pekee ilipokea vijana wa Kitanzania zaidi ya 300.
Tabaka hili watoto wao wengi wanasoma Marekani.
Hili tabaka huwezi kuwakuta wakifundisha Namtumbo Secondary school.
Hili tabaka huwezi kuwakuta wakifanya kazi kituo cha police Stakishari.
Hili tabaka huwezi kuwakuta Kariakoo wameinama wanachagua t-shirts za elfu 7 .
Hili tabaka huwezi kuwakuta kwenye daladala kwa namna yoyote labda kwa sababu za kisiasa tu.
Tabaka hili kazi huchagua kwa kuzingatia taasisi, kituo cha kazi na kiwango cha mshahara.
2. Tabaka tawaliwa
Hili tabaka lina mambo mengi, tabaka hili ndilo tunawapata;
-Bodaboda
-Wajasiriamali
-Watumishi wasaidizi kama wanajeshi, police, walimu, madaktari n.k. tena wanaofikia angalau hizi level ni wenye bahati au waliotokea familia zenye unafuu.
- Tabaka hili ndilo huwa mtaji kwa tabaka tawala. Sera za elimu, kilimo, ufugaji wanatungiwa hili tabaka na mtungaji hufanya makadirio tu maana hajui uhalisia wa mateso na mahitaji ya kundi hili.
Je, uko kundi lipi?
Duuuuhhh.Tabaka tawaliwa Ni la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati na familia zao wanao ambiwa kila siku wajiajiri