Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

Huwezi kuwa best iwapo kuna watu wanakuwinda kwa kisingizio cha sheria.
kwa vikwazo nilivyopitia nina nguvu vya kusema kama imepangwa kutoboa utatoboa. Hakuna binadamu au mazingira yatakuzuia ? Nimekutana na maboss wanavuta unga, bangi na mengine mengi because they are good in what they do.
 
Ujinga huo aliuasisi baba was taifa Nyerere!eti watu was asili ya Asia wawe matajiri wazawa wawe maskini!Hilo lipo obvious!!

Marehem Reginald Mengi aliandika Kwa kitabu chake!!

Ninmpango was Dola na serikali hawataki matajiri wazawa hofu ya kupoteza madaraka!!

Nikiingia uwanja utakua sawa!
 
Akina nyinyi ndio wahusika.Sidhani kama kulikuwa na sera za kuwazuia wazawa.
Jambo moja ni wazi kuwa hao wenzetu walipata mitaji kutoka kwa ndugu zao nje.Hilo kwa upande mmoja ndio limetuzindua na sisi kujua biashara na uchumi.
Tuingie kwenye biashara kwani nchi ni kubwa na ina fursa nyingi sana.Sio kuwafanyia ufisadi wale waliotumia nguvu zao kujiimarisha.
 
Yule Rama was kariakoo alijipiga risasi kwanini!!?

Mu Asia hawezi kubali mmatumbi astawi kiuchumi never!!

Hao jamaa wamekita mizizi yakutosha kwenye system Hadi utawala!!

Unafikiri top ten ya Bongo ya utajiri wameshika Kwa bahati mbaya!!?

Wmatumbi kibao tu walinyanyuka wakapotea kiaina kama Rama wa kariakoo alivojipiga risasi Kwa dhulma shirikishi na hao wahusika!!!

Rip mufruki na fighter wengine was kimatumbi!!
 
Sasa hivi kuna sheria ya kazi na ajira nimeipenda sana.Kila kampuni liwe la muasia au nani lazima liajiri wazawa.Wahusika wameachiwa kudhibiti madroo ya pesa tu lakini sehemu zote nyengine za kitaalamu ni lazima tuwepo na sisi.
Hiyo inatosha kuchota ujuzi.Sasa hii vita ya kifisadi kutumia mlango ya nyuma ya nini wakati fursa zimejaa.
 
Stori za vijiweni zinageuka kuwa habari!
 
If you want peace prepare for war nafikili hiki ndo kinaendelea hivyo Kuna amani yaja uko mbele tukae kama watu
 
Lame excuses!
Toa sababu za kitafiti kuonesha kwanini biashara za waislamu katika kipindi cha miaka 10 iliyopita zinakufa kwa kasi na zile za wakristo hasa makabila fulani ndio zinapanda juu sana japo wameanzisha siku za karibuni tu.
 
yaani kwa jinsi ninavyokandwa na TRA na mimi mkristo, ukiniambia TRA inapendelea wakristo nakuona kama umetumwa na shetani. acha udini, tafuta pesa.
 
Toa sababu za kitafiti kuonesha kwanini biashara za waislamu katika kipindi cha miaka 10 iliyopita zinakufa kwa kasi na zile za wakristo hasa makabila fulani ndio zinapanda juu sana japo wameanzisha siku za karibuni tu.
Taja sababu za Motorola na Blackberry kufa wakati Samsung, iPhone na Chinese brands kufanya vizuri?
Ni kuendana na soko na ushindani wa kibiashara. Lazima uwe dynamic, flexible, innovative, pro-active, siyo reactive.
 
Toa sababu za kitafiti kuonesha kwanini biashara za waislamu katika kipindi cha miaka 10 iliyopita zinakufa kwa kasi na zile za wakristo hasa makabila fulani ndio zinapanda juu sana japo wameanzisha siku za karibuni tu.
Kodak wamepotea sokoni na mikanda yao ya camera wameibuka wengine na memory cards, n.k.
Kama huendani na wakati unapotea tu.
 
Toa huu ujinga wako haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…