Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #61
Hao waislamu unaosema wapo ni kama vivuli tu vya watu kujificha nyuma yao wakati wakitekeleza ajenda za kimkakati.Ni maarufu sana waislamu kukuta wapo sehemu lakini wakazubaishwa au kutokujiamini kuzuia ufisadi ulio karibu yao.Pengine ni kule kuamini sana kanuni za kazi zao huku wenzao wakizivunja waziwazi na mbele yao.mbona ka mlongo karibia mmoja kamishna general wa TRA wamekuwa waislam, wakuu wa TRA mikoani wengi sana waislam, tunawajua ni ndugu zetu na marafiki zetu, na rais wenu, na waziri wenu mkuu ni muislam. hivi kama icho kitu kingekuwepo si mngeshasema zamani? sidhani kama wakristo wanawabagua waislam kama ninyi mnavyotubagua sisi kuwa ni makafiri. tafuta pesa, acha kulalamika, ramadhan ijayo imekaribia utatoa miayo na malalamiko juu.
Hata mimi ninao ndugu ndani ya TRA lakini sijawahi kuwaona wakiwa na msaada wowote wa angalau kuzuia nisikandamizwe.
Ni mfano kama kile kinachotokea Gaza.Sasa kitakachosaidia ni kupata viongozi wa juu hata kama si waislamu au wa makabila yale ambao watakuwa ni waadilifu katika kazi zao.