Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

Jibu suali kwanini biashara za waislamu na watu wa makabila mengine zinakufa.
Haiwezekani kuwa waislamu pekee ndio hawajui hiyo elimu ya masoko unayosema.
Nimekupa jibu haulikubali nikujibu Nini Kama umechagua jibu sahihi kwako ni kile unachofikiria.
 
Nimekupa jibu haulikubali nikujibu Nini Kama umechagua jibu sahihi kwako ni like unachofikiria.
Iwapo waislamu hawajui elimu ya masoko kiasi hicho hiyo ni takwimu nyengine inayohitaji kuangaliwa na chanzo chawezekana ni katika ubaguzi wa utoaji elimu.Japo binafsi nashikilia pale pale kwenye njama maalum.
 
Iwapo waislamu hawajui elimu ya masoko kiasi hicho hiyo ni takwimu nyengine inayohitaji kuangaliwa na chanzo chawezekana ni katika ubaguzi wa utoaji elimu.Japo binafsi nashikilia pale pale kwenye njama maalum.
Tatizo utamaduni, mila na desturi.
Pia aggressiveness. Waislam wengi WA TANZANIA wanakuwa wapole Sana na tabia ya umwinyi kama muarabu wa Oman. Ni conservative sana.
Don't take it offensive but as a compliment.
Wanajaribu kulinda dini na desturi za dini yao au waliowaletea dini.

Muangalie muarabu wa UAE, Qatar, Saudia walivyo badilika na kuiga mengi ya kisasa.
 
Toa sababu za kitafiti kuonesha kwanini biashara za waislamu katika kipindi cha miaka 10 iliyopita zinakufa kwa kasi na zile za wakristo hasa makabila fulani ndio zinapanda juu sana japo wameanzisha siku za karibuni tu.
Hivi wewe jamaa unajua hauna akili?

Unajua hii mada nimetoka nayo huko juu naisoma nikawa natafuta content ya aliyeiandika ilikuwa ni nini nikakosa hapa ndiyo nimekuelewa,unataka kusema nini fafanua kwenye bold hapo.
 
Siendi popote ardhi ni ya Mungu siyo ya mtu wala taifa fulani!

Nipo Dar nakimbizana na wazaramo walishanikatia kipande cha ardhi wakitaka tufukuzane tufukuzane kimaendeleo siyo eti kisa mimi siyo mzawa.
Mkifa mnatumia sana gharama kusafirishwa, mimi binafsi nitakapokufa nizikwe hapo hapo .
 
Vita iliyopo ni kati ya ccm na wapambe wake, na Taifa,
 
yaani kwa jinsi ninavyokandwa na TRA na mimi mkristo, ukiniambia TRA inapendelea wakristo nakuona kama umetumwa na shetani. acha udini, tafuta pesa.
Jamaa ni mfanyakazi wa muarabu au muhindi aliyefilisiwa kwa kukwepa kodi hana analojua kuhusu biashara na sheria za kodi za biashara!

Kwa wenye akili huyu ni wa kumpuuza na watu dizain yake ndiyo wale wakipewa kitengo taasisi za serikali hutoa huduma mbovu kwa asiofanana nao dini au kabila na kutoa huduma nzuri kwa anaofanana nao.
 
Hii vita IPO kichwani mwako zaid
... UNAFIKI WA KULIITA KOLEO KIJIKO KIKUBWA UTALIANGAMIZA TAIFA HILI!
USINYAMAZISHE MAONI YA WATU, HASA UNAYOONA YANAKUTISHA KWA UKWELI WAKE, ... INABIDI TUYAFANYIE KAZI KWA MIJADALA YA KIUTU-UZIMA!
NB: UDINI NDIO TISHIO KUBWA LINALOINYEMELEA AMANI YETU TANZANIA!
 
Mkifa mnatumia sana gharama kusafirishwa, mimi binafsi nitakapokufa nizikwe hapo hapo .
So upo hai leo lakini unaanza kugwaya gharama za kusafirishwa kwenu kwenda kuzikwa,kwa hiyo watu waogope kutoka makwao kwenda miji yenye fursa kisa wakifa wanasafirishwa kwa gharama kubwa?

Maiti inasafirishwa India mpaka Tanzania uje kuogopa 800klms za bongo?u must be kidding masta na hata nikifa sijisafirishi mimi watakaobaki ni jukumu lao na pia ni utaratibu upo umetumika kwa muda mrefu umeleta tija that's why huoni ukibadilishwa.
 
Kwetu fursa zipo kwa nn niende mbali? KIufupi sijaona kipya cha kuzunguka labda nje ya nchi.
 
Naungana moja kwa moja na mtoa mada.
Kipindi cha Jiwe, wafanyabiashara wa jamii ya kiarabu, wapemba na wa kihindi wengi walikuwa targeted sana, Kuna mfanyabiashara mmoja muarabu alipigwa faini bilioni 6 na TRA wakamuulia biashara yake moja kwa moja, kwa sasa jamaa ameona isiwe shida amehama nchi kabisa.
 
Kwanini hawa Jamaa wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuu dominates ukanda wa pwani?
 
Mafumbo a.k.a taarabu yanaumiza kichwa. Kama hauko tayari kufunguka kaa kimya mpaka utakapofungua codes.
 
Hofu ya kisiasa hasa Uhakika was kushika dola ulimfanya Baba wa taifa afanye makosa Fulani makubwa Sana ambayo yanaligharimu Taifa Hadi leo!!

Dola yetu ilamua watu was asili Ile ndio washike uchumi was nchi wazawa wabaki na ajira tu pekee na uchuuzi na sio kumiliki hatma ya uchumi.wa nchi hii,limefanya Kila mzawa akitaka kuinuka anaminywa kabisa!!

Ndio maana top ten ya madon hapa Bongo ni wao TU!

Ndio maana uki google "who owns Tanzania" majibu yanakuja "sio mmatumbi"Bali ni huyo!!

Tutarekebisha Hali nikishika hatam,uwanja sawa kwa wote,favour sawa Kwa wote!!!

Mungu ibariki Tanzania yetu!!
 
Hivi wewe jamaa unajua hauna akili?

Unajua hii mada nimetoka nayo huko juu naisoma nikawa natafuta content ya aliyeiandika ilikuwa ni nini nikakosa hapa ndiyo nimekuelewa,unataka kusema nini fafanua kwenye bold hapo.
Hiyo uliyobold ndhio sehemu ya kicwa cha habari.
 
Kama wewe ni mkristo itakuwa walikufikiria ni muislamu
mbona ka mlongo karibia mmoja kamishna general wa TRA wamekuwa waislam, wakuu wa TRA mikoani wengi sana waislam, tunawajua ni ndugu zetu na marafiki zetu, na rais wenu, na waziri wenu mkuu ni muislam. hivi kama icho kitu kingekuwepo si mngeshasema zamani? sidhani kama wakristo wanawabagua waislam kama ninyi mnavyotubagua sisi kuwa ni makafiri. tafuta pesa, acha kulalamika, ramadhan ijayo imekaribia utatoa miayo na malalamiko juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…