Tanzania kuna vita ya kiuchumi isiyo rasmi kati ya dini na makabila

Hao waislamu unaosema wapo ni kama vivuli tu vya watu kujificha nyuma yao wakati wakitekeleza ajenda za kimkakati.Ni maarufu sana waislamu kukuta wapo sehemu lakini wakazubaishwa au kutokujiamini kuzuia ufisadi ulio karibu yao.Pengine ni kule kuamini sana kanuni za kazi zao huku wenzao wakizivunja waziwazi na mbele yao.
Hata mimi ninao ndugu ndani ya TRA lakini sijawahi kuwaona wakiwa na msaada wowote wa angalau kuzuia nisikandamizwe.
Ni mfano kama kile kinachotokea Gaza.Sasa kitakachosaidia ni kupata viongozi wa juu hata kama si waislamu au wa makabila yale ambao watakuwa ni waadilifu katika kazi zao.
 
kwahiyo na samia na pm ni vivuli tu, ulitaka wawepo al shabab au boko haram ndio uridhike? ninyi hata mkipewa nchi yote mtalalamika tu kwasababu mmeumbiwa kulalamika na kulaumu. mkipewa madaraka yote mtalalamika kwamba mbona wakristo wapo hai, mtataka muwauwe wote ili mridhike.
 
Alshabab na bokoharam ni wenzenu nyinyi hao.Wanaotakiwa hata wawe wakristo wasiwe mawakala wa madhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…