Tanzania kuna wakati vyeo vinatolewa siyo kwa sababu eneo hilo linahitaji mtu, bali kwa sababu kuna mtu fulani anatakiwa apewe uongozi

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
HIi nchi tuna pesa ya kuchezea, kuna wakati vyeo vinatolewa siyo kwa sababu eneo hilo linahitaji mtu, bali kwa sababu kuna mtu fulani anatakiwa apewe uongozi, ndipo nafasi inatengenezwa.

Fikiria, ni nchi gani ina Rais mtendaji, ina Makamu wa Rais mtendaji, halafu tena ikawa na Waziri Mkuu mtendaji, halafu iwe na naibu waziri mkuu mtendaji?

Tanzania tuna Rais mtendaji, siyo ceremonial, tuna Makamu wa Rais, halafu tena tuna Waziri mkuu, halafu tena tuna naibu waziri mkuu. Ni nchi gani uliwahi kusikia ina mpangilio wa viongozi wa ngazi za juu, kundi kubwa la namna hiyo? Hayo maajabu yapo Tanzania tu!!

Tunavyoenda, usishtuke utakaposikia tuna waziri na naibu waziri, wasio na wizara maalum!! Siyo kwamba wizara isiyokuwepo inahitaji hao watu, bali kuna watu lazima wawe mawaziri hata kama hakuna wizara. Kuna watu ni lazima wawe mabalozi hata kama nchi za kuwapeleka, hazipo. Hawa wanatafutiwa uhalali wa kula pesa ya wajinga Watanzania, hata kama hawana kazi ya kufanya.

Kuna mataifa mengine, ama wana Rais Mtendaji halafu wana Makamu wa Rais, lakini hawana waziri mkuu (USA ni moja ya nchi hizo).

Baadhi ya nchi zina ceremonial president, hazina makamu wa Rais, halafu zina waziri mkuu (Malaysia ni mojawapo).

Nyingine zina mfalme, halafu waziri mkuu, hazina Rais wala Makamu wa Rais (Uingereza ni mfano mmojawapo).

Lakini sisi Taifa la viongozi watapanaji wa kodi za wananchi, ni msululu viongozi wanaopewa uongozi kama zawadi.

Serikali ya CCM ni mkoba wa kutunzia pesa uliojaa matobo ya kuvujisha pesa ya umma. Hata tuchange vipi, pesa haiwezi kukusanyika kwa sababu pakacha la kutunzia pesa lina matundu mengi.
 
Sisi siku hizi mtu akiwa amezingua anapewa ubarozi ndio sehemu ya kuendelea kula mema ya nchi akiwa kapumzika asiwasumbue. Kinachonishangaza ni wanaopewa ubarozi bila kupangiwa nchi.
Hii nchi ina pesa nyingi basi tu.
 
Hata wabobezi hujizima data wakipewa dhamana kuahirisha kufikiri kizalendo
 
Sisi siku hizi mtu akiwa amezingua anapewa ubarozi ndio sehemu ya kuendelea kula mema ya nchi akiwa kapumzika asiwasumbue. Kinachonishangaza ni wanaopewa ubarozi bila kupangiwa nchi.
Hii nchi ina pesa nyingi basi tu.
Huwa wanasahu kama wamewateua
 
Ubalo
Sisi siku hizi mtu akiwa amezingua anapewa ubarozi ndio sehemu ya kuendelea kula mema ya nchi akiwa kapumzika asiwasumbue. Kinachonishangaza ni wanaopewa ubarozi bila kupangiwa nchi.
Hii nchi ina pesa nyingi basi tu.
Jaman ,mambo ya mahusiano ya kimataifa Yana protocol zake ,ukiteuliwa kua baloz sio kwamba unaanza kazi hapo hapo na kupata nchi ya kukupeleka hapo hapo, diplomatics lazma wakubaliwe na nchi inayo mpokea baloz (host county) na jina Huwa linatumiwa kweny iyo nchi na nyie mnakaa msubr kama watamkubali au vip? Wao wanachunguza tabia zake uskute ana ushabik na tabia ambazo ( hosting county) hawaitak mfano ndoa za jinsia moja,au anapinga ndoa za jinsia moja na ( hosting county) wanaruhus ndoa za jinsia moja,, baloz wa aina hiyo atakataliwa na iyo Nchi,au jina lake pengine ni matus Kwa ( hosting county) mfano mtu ametokea Malawi anaitwa kapumbu,katokea Japan anaitwa '**** moto" hapo hatuwez mpokea ,,Kwa ivyo ukisikia mtu kateuliwa kua baloz jua Kuna mchakato unaendelea tuu kweny hosting county ili kuruhusu wamkubali
 
Hadi nafasi ambazo hazipo Kikatiba. Sifa ni kwa kuwa ni mwenzetu.
 
Ukweli ni kwamba hili ni shamba ka bibi
Ndo maana hakuna mwananchi wa kawaida ambaye anaangaika na hizo teuzi za Rais wengi wamezipuuzia sana
 
Sisi siku hizi mtu akiwa amezingua anapewa ubarozi ndio sehemu ya kuendelea kula mema ya nchi akiwa kapumzika asiwasumbue. Kinachonishangaza ni wanaopewa ubarozi bila kupangiwa nchi.
Hii nchi ina pesa nyingi basi tu.
Balozi sio lazima awe na nchi ya uwakilishi. K.m. wakurugenzi wengi wana cheo cha balozi lakini hawawakilishi nchi.

Amandla...
 
Back
Top Bottom