Tanzania kuna wakulima wanapiga pesa ila nahisi ni viongozi na wameblock wakulima wengine wasifanye.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege.

Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada.

Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya chakula nahisi ni nafaka sijui ni nafaka hipi.

Nitaanza na ili nyuma kidogo,Wakati miaka ya nyuma asali lilikuwa zao ambalo uwezi kusumbuliwa ila alivyo staafu mizengo pinda kujiingiza na asali hapo ndipo sheria kali zikaingizwa yani leo ukishikwa na asali ni kama umeshikwa na nyaraka za serikali.Ila yeye ndio anauza asali nchi za nje.

Wakulima wetu wanakandamizwa sana ndio maana unaona wanawekewa ugumu ili viongozi wafanye wao nje ya mipaka kibiashara.
 
Ni kosa kuuza asali ya mizinga yangu?
 
Back
Top Bottom