Kama ni kweli safi sana lkn kwanza FastJet ni lazima wasepe, iwe kwa hujuma ya moja kwa moja au ya chini chini lkn ni lazima waondoke kwetu ili Ndege yetu iweze kumea na kukua, yaani soko la ndani kwa asilimia zaidi 90% liwe la ndege yetu!
Biashara sasa ivi ni ushindani sana na mashirika ya ndege ni mengi so inaitajika ubinifu wa hali ya juu ili tufanikiwe teka soko na faida tupate,pili menejimenti na wafanyakazi wajitume wawe na uchungu wa kuendeleza shirika wafanye kazi kwa bidii na ikiwezekana hata expert aajiriwe sio kila cku tunabaki nyuma na mashirika mengine yanasonga mbele.
Hiyo sio roho mbaya ni business strategyRoho mbaya haijengi, sina hakika na uwezo wako wa kufikiri, maake pointing zako nyingi ni fitna kama za wake wenza