Tetesi: Tanzania kununua Ndege mpya 5(regional jets) aina ya Bombadier

Tetesi: Tanzania kununua Ndege mpya 5(regional jets) aina ya Bombadier

izo bombardier sio user frinedly kwa nchi nyingi za africa, sijaona nchi za kiafrica wakizinunuz kwa sasa soko la low cost ariline limeshikwa na embrer kwa ndege za jet na izi za mapanga basi ni kama izi za precision ATR so walitakiwa wanunue za aina hizi tu kwa sasa wangechukua ATR mpya 3 na embrer 2 si sahihi kununua bombadier ni ndege ghali za canada!!!!! tuwe wajanja ktk manunuz hadi unajiuliza haya mashirika yana wataalam kweli hata wa kujua soko likoje?
 
Na kama ndivyo litakuwa jambo jema,ndege ziwe mpya na siyo mitumba iliyopakwa rangi na kubadilishwa seat cover basi siku mbili tatu zinakuwa midoli ya kuchezea watoto kama ile iliyotelekezwa pake KIA,angalizo hao watakaoingia mkataba wa kulipia hizo ndege waje na bei halisi toka kampuni husika,wakiweka Cha Juu zama hizi sizo itakuja kuwa Dhahama,mambo ya Kuchezeana ka-mchezo ka pata potea au kekundu hazipo,watu wawe Wazalendo wa kweli kwa nchi yao na Watanzania kwa Ujumla.
 
Kama ni kweli safi sana lkn kwanza FastJet ni lazima wasepe, iwe kwa hujuma ya moja kwa moja au ya chini chini lkn ni lazima waondoke kwetu ili Ndege yetu iweze kumea na kukua, yaani soko la ndani kwa asilimia zaidi 90% liwe la ndege yetu!

it will take 100yrs to compete with fastjet.ni bora useme kama nchi tununue hisa.tumiliki kwa pamoja kama kenya airways
 
Kama ni kweli safi sana lkn kwanza FastJet ni lazima wasepe, iwe kwa hujuma ya moja kwa moja au ya chini chini lkn ni lazima waondoke kwetu ili Ndege yetu iweze kumea na kukua, yaani soko la ndani kwa asilimia zaidi 90% liwe la ndege yetu!

Haya ni mawazo na fikra ya kimasikini of the highest order. Acha waje washindane ili sisi wananchi tupate unafuu ktk usafiri wa anga.
 
Kama ni kweli safi sana lkn kwanza FastJet ni lazima wasepe, iwe kwa hujuma ya moja kwa moja au ya chini chini lkn ni lazima waondoke kwetu ili Ndege yetu iweze kumea na kukua, yaani soko la ndani kwa asilimia zaidi 90% liwe la ndege yetu!
Mkuu hichi ulichokiandika hapa hakiendani na slogan ya JF (home of great thinker)
 
ukijua kwanini ulianguka ni rahisi kujipanga na kukwepa usianguke tena ,hili shirika lilionywa lisiingie ubia na mashirika makubwa S.A.A litamezwa na halitaonekana na ndicho kilichotokea kwa sababu shirika kubwa lilitumia strategy ya kama huwezi kupambana naye ungana naye ,
 
Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.

Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..

Ununuzi huo tunaubaliki ila tuu waje wachunguze hizo ndege tusije pewa misiba ya mara kwa mara hapa mara oo ndege imeanguka ooo imepotea kusiko julikana

Inshort wasije tuuzia mitumba mufu
 
Hiyo unayoita roho mbaya mimi naita Uzalendo, na ndiyo unaojenga nchi!

We jamaa mtamu saana. Nimekuelewa saana. In this era of stiff economic competition fitna na ukauzu ni strategy muhimu pia kusonga mbele. Maandishi yako ni uzalendo mtupu.

Good job!
 
We Pelle mza usinichekeshe kuhusu sound zilivyokuwa zikiimbwa wkt ule mipango na mbinu zilizokuwa zimepangwa namna ya kuyabeba masalia ya yule mjusi mkuubwa aliyechimbwa mikoa ya kusini,na kwamba mahali pa kuja kumhifadhi pamekwisha andaliwa,so wale watalii waliokuwa wakitoka pande mbalimbali za dunia waliokuwa wanakwenda Ujerumani watakuja kwetu na kuongeza pato la Taifa,ngonjera hiyo iliisha kimya kimya kama mshumaa,najiuliza sisi Watanzania aliyeturoga ni nani,maana kila kitu tumejaaliwa kuwa nacho,malia asili,mito,madini ya kila aina,maji yapo ya kutosha lkn ukame mikoa iliyoko kando kando ya maziwa,achilia mbali maji safi na salama ya kutumia,migodi tumewapa wageni wanachimba lkn kila siku wanasema wanapata hasara,vijiji vilivyoko pembezoni mwa migodi mikubwa hakuna maji,barabara,zahanati,shule zenye vifaa vya kufundishia,ndani ya mgodi ni kuzuri huwezi kuamini kama ni Tanzania hii hii,watumishi wa serikali waliowekwa humo kuona kinachozalishwa ili kuhakikisha maslahi ya nchi yanalindwa,nao wanakula njama na wageni kutoa Taarifa za uongo,ndege zinatua ndani ya mgodi na kubeba madini huku zikisindikizwa na walinzi wa kampuni binafsi,polisi kazi yao ni kulinda uwanja tu tena nje.Mbuga ya Serengeti kwa sehemu kubwa iko Tanzania ila Kenya wanaitumia ipasavyo kuingiza watalii huku wakiitangaza nje kuwa iko kwao kama ilivyokuwa Mlima Kilimanjaro,tunashindwa nini kujenga uwanja mkubwa wa Kimataifa Musoma,hoteli zenye hadhi Kando Kando ya ziwa na makampuni ya Tours ili wageni waje moja kwa moja kwetu,tukawachukua kwa magari wakaingia Mwitongo nyumbani kwa Baba wa Taifa kisha mbugani tukapata fedha nyingi za kutosha kusukuma maendeleo ya nchi yetu?
 
izo bombardier sio user frinedly kwa nchi nyingi za africa, sijaona nchi za kiafrica wakizinunuz kwa sasa soko la low cost ariline limeshikwa na embrer kwa ndege za jet na izi za mapanga basi ni kama izi za precision ATR so walitakiwa wanunue za aina hizi tu kwa sasa wangechukua ATR mpya 3 na embrer 2 si sahihi kununua bombadier ni ndege ghali za canada!!!!! tuwe wajanja ktk manunuz hadi unajiuliza haya mashirika yana wataalam kweli hata wa kujua soko likoje?

I support your argument
 
Tatizo kubwa la ATCL sio kukosa Ndege(Maana hata hapo kabla zilikuwepo pia) zake, tatizo hasa ni Mfumo mzima wa Uendeshaji, kuanzia management, Policy, Wafanyakazi na Mtaji.
Katika mazingira ya sasa ambapo ATCL inaendeshwa kwa ruzuku ya Serikali, ikiwa na wafanyakazi zaidi ya 300 huku ikiwa na Ndege mbili?? tu tena za kukodishwa na katika mazingira magumu na mazito ya kibiashara plus Ushindani wa hali ya juu kutoka Fastjet na Procession Air, hata kama ATCL watanunua ndege 10 mpya, bado watashindwa tu.

Biashara sio kitu lelemama kabisa.
Ukweli ni mmoja tu, Serikali hususani serikali ya Tanzania haiwezi kumudu kufanya biashara.
 
Kwa nini wanakimbilia kampuni ya kikanada wanaacha boeing ya america au a320neo ya airbus?
Mmh, kazi tunayo. Siku hizi Tanzania kila mtu ni mtaalamu wa kutoa ushauri kila eneo na kwa kila kitu!! Aviation industry, Mining, Manufacturing, Marketing, etc. Kama ni matokeo utandawazi, basi sina cha kusema.
 
Hizi habari tulishasikia sana enzi za mwakyembe akajitapa wameshaagiza ndege mmbili.kutoka brazil lakin hadi.leo hakuna kitu, wakiamua.wanaweza kuagiza jet hata kumi kwa mkopo na shirika likafufuka upya,waache siasa
 
mwakyembe alikuwa miyeyusho sana.
 
Back
Top Bottom