DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 551
...Ethiopia sio nchi maskini kuliko sisi. They rank 9th kwa gdp ya 55bn usd. Sisi tuna rank 10th kwa gdp ya 49bn. In Africa.K.m. Ethiopia ni nchi masikini kuliko yetu lakini shirika lao linaongoza kwa kupata faida Afrika. Soko wanalotegemea ni Afrika nzima. Wametengeneza mtandao mkubwa unaounganisha majiji makubwa duniani na majiji mengi ya Afrika kupitia Addis Ababa kama kiungo kikuu "transit hub".
...By the way, issue si umasikini au uwezo, bali mipango. Rwanda ina rank 35th kwa gdp ya 8bn usd na ina shirika la ndege linalokua.