Tetesi: Tanzania kununua Ndege mpya 5(regional jets) aina ya Bombadier

Tetesi: Tanzania kununua Ndege mpya 5(regional jets) aina ya Bombadier

Navyojua mm wanapanga kuagiza ndege aina ya Bombadier CRJ 1000 nne zenye kubeba abiria kati ya 90 na 100.Hapa muhimu waondoe middle men
Kwa nini wanakimbilia kampuni ya kikanada wanaacha boeing ya america au a320neo ya airbus?
 
Hiyo unayoita roho mbaya mimi naita Uzalendo, na ndiyo unaojenga nchi!
Ndo kusema ATC ni dhaifu sana kiasi kwamba haiwezi kufanya kazi bila Fastjet kufa? Fastjet lazima iwepo maana hao ATC wanauwezo wa kujitutumua kwa miaka 3-5, baada ya hapo chali tena. Tatizo kubwa la kampuni kama ATC ni wanasiasa. Wanasiasa hawachelewi kuanzisha route za mikoni kwao hata kama hazina faida, pia hupenda kutoa ofa kwa rafiki zao na wapenzi wao. Pia, ATC ni shamba la bibi.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Huwezi amini moja ya route ambayo Air Tanzania ilikuwa inapata pesa sana enzi hizo ni route ya Dar-Mtwara... Sasa hivi barabara ziko safi nchi nzima wapanda ndege wamepungua sana..
Hata hivyo kama wanaleta hizo ndege basi wafanye na mabadiliko makubwa sana kwenye uongozi wa hilo shirika maana wamozoea kufanya kazi kwa mazoea
 
Hapa ndio naposhindwa kuelewa sisi watanzania tunataka nini ?? Unasema wasomi hawajashindwa ??? Hebu nikupe mfano tu wa kwenye Elimu kina Shukuru kawambwa na usomi wake aliambiwa nini na kina Mbatia kuhusu elimu ???badala yake tunafulisha watoto wasiojua kusoma na kuandika na BRN zao ili kuficha aibu ya serikali huoni huko ni kufeli
...Kwahiyo, Kawambwa ndio wasomi?

...Sera ya Elimu inasemaje? Imetekelezwa?
 
Duu tutashukuru ikiwa hivyo.. Ila hakuna kitu kinachouma kama railway ya kati.. Yaani ni kama imekufa jamani.. Sijajua rais Magufuli anaiwazia nn yapata miezi miwili hii reli haijatoa huduma yoyote.. Jamani majilani wanatucheka huko nje.. Harafu huwezi kubolesha bandari bila kuboresha reli.. Mmeenda sana bandari lakini relwe kimya kuna nn nchi hii.
 
...Kwahiyo, Kawambwa ndio wasomi?

...Sera ya Elimu inasemaje? Imetekelezwa?

Kawambwa sio msomi sasa wewe msomi kwako sijui ni nani ,Mkuu siko hapa kwa ajili ya kubishana ni mawazo tu na sio sheria , haya maswali sina namna ya kukujibu yanayotokea nchini mwetu ni jibu tosha ya hayo maswali ,kama wewe huoni basi
 
Kama ni kweli safi sana lkn kwanza FastJet ni lazima wasepe, iwe kwa hujuma ya moja kwa moja au ya chini chini lkn ni lazima waondoke kwetu ili Ndege yetu iweze kumea na kukua, yaani soko la ndani kwa asilimia zaidi 90% liwe la ndege yetu!
Tunataka ushindani
 
Kawambwa sio msomi sasa wewe msomi kwako sijui ni nani ,Mkuu siko hapa kwa ajili ya kubishana ni mawazo tu na sio sheria , haya maswali sina namna ya kukujibu yanayotokea nchini mwetu ni jibu tosha ya hayo maswali ,kama wewe huoni basi
... UncleBen, point yangu ni kutoingiza wasomi wote kwenye kapu moja! Wasomi walioingia kwenye siasa siwezi kuwalaumu. Wote tunaijua siasa ilivyo.
 
Hata wapewe ndege kumi shirika litakufa tu, tatizoF uongozi na madili dili

Mkuu ni kweli kabisa biashara ya usafiri wa ndege hatuiwezi,zitanunuliwa ndege hizo kutoka Canada alafu wafanyakazi watazitumia kubebea SATO kwenye cargo hold na kubebea vijisimu na vipodozi kutoka Dubai kuja kuuza - yatarudi yale yale ya miaka ya nyuma!

Bila ya kuingia ubia na investors wa kutoka nje ATC haina uwezo wa kufanya biashara ya usafiri wa anga - hawana kabisa - Serikali italazimika kuwa inawapatia rusuku ya kuliendesha mara kwa mara - ya nini bwana Serikali kujingiza kwenye biashara ambayo hailipi kutokana na watendaji kukosa uadilifi.
 
Ndo kusema ATC ni dhaifu sana kiasi kwamba haiwezi kufanya kazi bila Fastjet kufa? Fastjet lazima iwepo maana hao ATC wanauwezo wa kujitutumua kwa miaka 3-5, baada ya hapo chali tena. Tatizo kubwa la kampuni kama ATC ni wanasiasa. Wanasiasa hawachelewi kuanzisha route za mikoni kwao hata kama hazina faida, pia hupenda kutoa ofa kwa rafiki zao na wapenzi wao. Pia, ATC ni shamba la bibi.
Nakuunga mkono, tunataka ushindani wa soko - tunajua fastjet ana mapungufu yake endapo ATC atayachukulia kimkakati ya kibiashara na si kisiasa basi mambo yataenda vzr tu na hakuna haja ya kumsulubu fastjet bila sababu.
 
UncleBen, point yangu ni kutoingiza wasomi wote kwenye kapu moja! Wasomi walioingia kwenye siasa siwezi kuwalaumu. Wote tunaijua siasa ilivyo.
Mkuu niliposema wasomi sikua na maana kwamba ni wote na sina report inayo onyesha ni % ngapi ya wasomi walio ingia kwenye siasa na ambao hawapo kwenye siasa ndio wametufikisha hapa ,nilisema wasomi nikiwa na maana waliopo kwenye siasa na wasio kwenye siasa ,Sasa mtu kama Prof Lipumba Mimi naona kama hajaitendea haki elimu yake
 
nimekua nikisubiri taarifa kama hii kwa mda mrefu japo si ya uhakika, bombadier kwa kuanzia sio mbaya hasa kwa route za ndani, uboreshaji viwanja vya JNIA, KIA, MWANZA na vingine vingi unaoendelea ukikamilika walete boeing na hata airbus tushindane na hawa KQ na Ethiopians ...hatuna sababu ya kuwa inferior hata kwa wenzetu ambao kiuhalisia tunapaswa kuwa nao sawa au hata kuwapita (tumekosa nini hasa!?), mwanzo nilidhani labda hatuna mipango lakini ukifatilia karibu kila idara na taasisi ya serikali utagundua kuna sera na mipango mizuri tu tatizo huwa ni usimamizi na utekelezaji wa mipango hiyo, hatuna maadili na ethics za utendaji kazi (hiki ndicho tunachokosa)...Wakuu hili sio jipu ni uvimbe mkubwa usiohitaji kutumbuliwa, tunahitaji upasuaji hapa!!
 
Habari kutoka chanzo kisicho rasmi sana.. inasemekana ATCL inategemea kuleta ndege 5 (regional jets) aina ya Bombadier zenye uwezo wa kubeba abiria 50 hadi 70 ili kufufua biashara yake hasa kwa safari za ndani na nchi za jirani.
Fedha hiyo inasemekana ni mkopo toka TIB..
Wakifanya hivyo itakuwa vizuri maana itatuondolea aibu. yani hatuna ndenge hata moja zaidi ya ile tuliokodisha. EA sisi ndo tunatia aibu Kenya airways, Rwanda air, Uganda wanandege nyingi. Burundi siwezi kuilaumu mnajua hali ya mkwamo wa siasa nchini humo ila sisi (Tz) sijui tumekosa nini?
 
Bora kununua hisa Fastjet kuliko kufufua Air Tanzania. Wabongo watapiga tu.
 
Hata wapewe ndege kumi shirika litakufa tu, tatizo uongozi na madili dili

Mwisho wa siku sio lazima tufanye kila kitu, tunaweza kujikita kwenye vichache tunavyoweza kuvimudu kwa ufanisi vingine tukawaachia wenye weledi waviendeshe japo ni aibu sana serikali kushindwa jambo.
 
Back
Top Bottom