Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

Umesomeka vizuri mkuu

Vita siku hizi imekuwa ni biashara kubwa, sasa sijui nani atadhibiti vita hii isiwe biashara na uchochoro wa ufujaji wa pesa za Jumuiya ya SADC au kupora maliasili ya nchi inayokwenda kusaidiwa n.k.

Mabunge ya nchi za SADC yawe yanapewa nafasi kuidhinisha majeshi ya nchi zao kwenda kupigana ktk nchi zingine na pia Bunge kupewa nafasi ya mara kwa mara kupata mrejesho wa operesheni za majeshi yao nje ya mipaka ya nchi badala ya kutegemea genge la watu wachache kuidhinisha majeshi kwenda nje kupigana kwa kisingizio cha " Makubaliano ya mkataba wa SADC juu ya ulinzi" ikitokea nchi moja ya SADC ina vita vya wenyewe kwa wenyewe au ikivamiwa na majeshi yasiyo ya SADC.
 
Story za MOU unajua hua zinachukua Muda gani mpk kuanza kutekelezeka?
 
Kwny Training toa neno Hilo weka Instructors.
'On its part, Zimbabwe is sending a team of 304 defence instructors to Mozambique to train Mozambican troops as part of its commitment to the SADC Standby Force Mission.'

Nimekupa task nyepesi tu,nitajie maeneo Sadc iliyoyakamata mpk Sasa hivi huko Msumbiji hauna jibu unaanza tena story za amboni na kibiti.
 
Cdf wa chigali alikuwepo upanga au akuwepo?

 
Kuna mkuu wa kuitwa wa kupuliza anawafunga fix watu humu eti majeshi ya SADC kule yamekaa tu hayajishughulishi na lolote,angeona zana alizoingia nazo msouth huko msumbiji sijui angesemaje!
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ easy tu mkuu,nitajie maeneo SA iliyoyakamata mpk Sasa hivi huko Moza ili tuone hizo Zana nzito kazi zilizofanya .
 
Angalia comment yangu no. 58.
 
Ona wapinzani wengine walivyo wapumbavu!

Yani watu wanakufa hovyo yenyewe yanongelea katiba?
 
Hata sisi tumeshapoteza role
 
Kweli kabisa wamepeleka kimyakimya sasa wameona mambo yanaenda vzr ndo mana wanatangaza!!
 
Mkuu kilichowapeleka Rwanda kule Cabo ni Ruby na watasomba magunia na magunia.
Mkuu lakini Ruby haipo huko kwenye vita ipo upande mwingine kabisa saa ina maana wataacha vita waende kwenye migodi ya ruby?Muntipuez District ilipo ruby na palma ni sehemu mbili tofauti coz palma na maeneo yote waloingia alshababy ni ukanda wa pwani!!
 
Finally Tanzania has entered the Capitalist Geopolitical warfares in Cabo delgado.

Sadly, After Cabo Delgado mtwara is another targeted zone because of Gas
[emoji848][emoji848][emoji848]dah tunaomba isiwe kweli hii kitu ni kusikia tu!!
 
Hivi msumbiji wao hawana jeshi mpaka kutusumbulia majw wetu,sisi show zetu ni za maGoma na maRubavu sasa huko kwa wala mipanya tunafuata nini
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji30]mkuu jeshi la msumbiji ni kuvaa gwanda na kutembea na AK-47 basi wamemaliza wakibananishwa wanakula kona yaani serikali ya msumbiji haijali kabisa kuhusu jeshi nilichogundua labda kutokana na vita vya wenywe kwa wenywe vya mda mrefu!!
 
Story za MOU unajua hua zinachukua Muda gani mpk kuanza kutekelezeka?
Huchukua muda ulioainishwa kwenye MOU. Hatua za kukabiliana na tatizo la usalama Msumbiji ziko za aina mbalimbali, sio kupeleka majeshi tu. Kuna kubadilishana taarifa na intelijensia, ndani na nje ya Msumbiji; kuna kuimarisha mipaka, maswala ya kuimarisha ulinzi ili shughuli za kibiashara na kijamii ziendelee, nk.
 
Sawa.
 
Candy Candy
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kuna mwingine alisema Kuna Mafuta huko watayaiba akaulizwa hayo Mafuta watayabeba kwny mabegi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…