MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Utaumia sana na ile Mitungi yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] bullet at 160km/hr...wenye wanafanya 400km/hr wataiitaje yao???mwenye mada acha ushamba iite tu modern sgr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaumia sana na ile Mitungi yenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] bullet at 160km/hr...wenye wanafanya 400km/hr wataiitaje yao???mwenye mada acha ushamba iite tu modern sgr
Unahitaji angalau 10 years ya kusoma na kufanya kazi ndo uwe expert wa kitu. That's the logic iliyotumiwa kufikia huo mkataba, under the contract mchina atachukua wanafunzi 40 kila mwaka na kuwapeleka china kusomea railway engineering degrees,masters...ect.. Alafu wakimaliza wataridi waje wafanye kazi under chinese management alafu after 3 years of field experience ndio wachina wataachia 100% kenyan staff... Hio yote itachukua miaka kumiGood move.. Siyo mambo ya kuwapa watu waku endeshee kwa miaka10!! Neo colonialism is Real..
That will work for you!! hivi wachina wameshauri nini ili kutatua tatizo la mizigo kua michache kwenye Cargo train yenu..Unahitaji angalau 10 years ya kusoma na kufanya kazi ndo uwe expert wa kitu. That's the logic iliyotumiwa kufikia huo mkataba, under the contract mchina atachukua wanafunzi 40 kila mwaka na kuwapeleka china kusomea railway engineering degrees,masters...ect.. Alafu wakimaliza wataridi waje wafanye kazi under chinese management alafu after 3 years of field experience ndio wachina wataachia 100% kenyan staff... Hio yote itachukua miaka kumi
View attachment 686967 View attachment 686968
Tunaomba utupe link au evidence kwamba kunahitajika miaka kumi ndiyo mtu awe expert wa kitu fulani, acha kuzungumza vitu kwa kutunga uongo ili tu ujiridhishe, hata urubani wa ndege kubwa ambayo ndiyo the most sophisticated job, sio miaka kumi, tuletee hiyo miaka kumi umeitoa wapi?Unahitaji angalau 10 years ya kusoma na kufanya kazi ndo uwe expert wa kitu. That's the logic iliyotumiwa kufikia huo mkataba, under the contract mchina atachukua wanafunzi 40 kila mwaka na kuwapeleka china kusomea railway engineering degrees,masters...ect.. Alafu wakimaliza wataridi waje wafanye kazi under chinese management alafu after 3 years of field experience ndio wachina wataachia 100% kenyan staff... Hio yote itachukua miaka kumi
View attachment 686967 View attachment 686968
Vipi kuhusu njaa, mna mikakati gani kukabiliana nayo?[emoji23] [emoji23]Vijana wenu mngewapeleka English Medium kwanza. Tafsiri za Turkiye-English-Swahili na Portugese-English-Swahili zitakuwa ni za kukanganyana. Hivo ndo treni huwa zinajipata kwenye ajali, breksi inakuwa ndo ongeza spidi. Si kwa ubaya jirani zetu, mawaidha ya bure kutoka kwa pingli-nywee! 😀😀😀😀😀 Ndugu zangu, msiniuwe bure!
SGR na train ni vitu viwili tofauti weka swali lako vizuri.Kwani hizo train zishafika au wanaenda kusomea bila kujua aina ya SGR ?!
For you to be part of a crew of a commercial plane, you must have at least 5 years of flying... For you to become a first officer, you must have worked for at least 4 different employers, and when you become a first officer, you will move downwards and start flying small aircraft then work your way up until you are the 2nd in command flying the largest aircraft in the airline... After that is when you can become captain, and when you become captain, again you wont fly the largest aircraft right away.... That's why you ate advised that if you want to become captain of a big aircraft in your 30's you better start flying when you are 20 yrs old.Tunaomba utupe link au evidence kwamba kunahitajika miaka kumi ndiyo mtu awe expert wa kitu fulani, acha kuzungumza vitu kwa kutunga uongo ili tu ujiridhishe, hata urubani wa ndege kubwa ambayo ndiyo the most sophisticated job, sio miaka kumi, tuletee hiyo miaka kumi umeitoa wapi?
Utakufa na wivuNletee mahali inasema bullet train ni kuanzia 150kph
Trains za Europe zinafanya averagely 250kph na wanaziita high speed trains si kama nyinyi bongolalaUtakufa na wivu
Most european bullet train ziko 200kmph ambayo ye2 ni 205
Tatizo lenu ninyi wakenya ni kutaka kujifanya mnajua mambo hata kama sio eneo lako, mimi nimekuambia unipe ushahidi unaoonyesha kwamba ili uwe expert wa kuongoza train unapaswa uwe umetimiza miaka kumi ya mafunzo na expenrience, umeshindwa kutoa huo ushahidi wa traina, unahamia katika ndege, hata hiyo ndege huna formal evidence yoyote ile badala yake unatumia historia ya mtu mmoja. Lete ushahidi unaosema ili mtu awe expert wa kuongoza train anapaswa kufikisha miaka kumi katika mafinzo, acha kutuletea blaa, blaa.For you to be part of a crew of a commercial plane, you must have at least 5 years of flying... For you to become a first officer, you must have worked for at least 4 different employers, and when you become a first officer, you will move downwards and start flying small aircraft then work your way up until you are the 2nd in command flying the largest aircraft in the airline... After that is when you can become captain, and when you become captain, again you wont fly the largest aircraft right away.... That's why you ate advised that if you want to become captain of a big aircraft in your 30's you better start flying when you are 20 yrs old.
The youngest captain of a commercial airline is 26yrs old. She started flying at 13!
View attachment 687676
Hizo ni shida ambazo zitawakumba hata nyinyi hapo mwanzoni mkimaliza sgr yenu.. Hata ethiopia pia imekumbwa na shida hii so far...That will work for you!! hivi wachina wameshauri nini ili kutatua tatizo la mizigo kua michache kwenye Cargo train yenu..
Tukana2 ila jua yenu ni twice slowerTrains za Europe zinafanya averagely 250kph na wanaziita high speed trains si kama nyinyi bongolala
Tofauti ya 120km/hr na 160km/hr ni?Tukana2 ila jua yenu ni twice slower
Atakuambia zao zitakua zikifanya 205kph kubeba watu wajingaTofauti ya 120km/hr na 160km/hr ni?
Yenu ni 80kmph yetu 205kmphTofauti ya 120km/hr na 160km/hr ni?
Tofauti ya 120km/hr na 160km/hr ni?
We ni mpuzi sana, una argue kama mototo vile , we mwenyewe ndo umenza kuomgelea urubani, nikakuonyesha hata youngest ever captain duniani ana miaka 26 na alianza flight school akiwa 13...Tatizo lenu ninyi wakenya ni kutaka kujifanya mnajua mambo hata kama sio eneo lako, mimi nimekuambia unipe ushahidi unaoonyesha kwamba ili uwe expert wa kuongoza train unapaswa uwe umetimiza miaka kumi ya mafunzo na expenrience, umeshindwa kutoa huo ushahidi wa traina, unahamia katika ndege, hata hiyo ndege huna formal evidence yoyote ile badala yake unatumia historia ya mtu mmoja. Lete ushahidi unaosema ili mtu awe expert wa kuongoza train anapaswa kufikisha miaka kumi katika mafinzo, acha kutuletea blaa, blaa.