Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

Haina watu....
Na hiyo kauli yako ndiyo inaonesha unavyosema elimu nyuma na kuweka siasa mbele....
Unalenga miradi ya gharama ,huku ukijua zaidi ya 80% ya raia wako hawafikii hiko kipato.
Hayo ma Sgr sio miradi ya gharama? Wanaokuza uchumi sio maskini ni matajiri lazima walelewe
 
Njoo ujionee Majengo yalivyotupu....
Palm Village tu ,ipo empty....
Apartments za Msasani zote zipo empty
Apartments za Kigamboni empty
Morocco square Empty

Hiyo miradi ni white elephants, Heri wawaletee Pembejeo Mbeya.
Wacha porojo wewe, unadhani occupancy rate ya Sasa ni sawa na kipindi hicho Yako tupu kabisa? Posta yote iligeuka makumbusho ila Kwa Sasa inarejea kwenye Hali yake ya awali.

Mwisho mradi gani productive wa sekta binafsi ulifanikiwa awamu ya Mwendazake?
 
Mabenki yanafanyia biashara pesa za serikali.
Yani watu wanafungua Fixed account kwenye benki binafsi na kuweka pesa za Halmashauri huko....

Kulikuwa na Kilimo gani enzi za kikwete 😂😂😂
Mpaka useme kilikufa....
Kwa hiyo pesa za serikali zilienda wapi? Mbona saizi hatusikii Benki Wala kikoba kikifilisika? Kwa nini awamu Ile? Maskini wa akili na Mali mna nongwa sana nyie
 
Wewe upo Mbeya ,haujui hali ya soko la real estate ya Dar....
Maghorofa ya apartments na ofisi kibao yapo empty....

Eti Samia 80% limechukuliwa, ngoja ujenzi mishe ndiyo uone....

Biashara ipi iliyorudi zaidi ya upigaji.
Huyo kazi yake kuimba ujinga ujinga tu! Hata NHC Morocco iko wazi hakuna wapangaji hata nusu na mradi haujaanza!
Hii miradi ya NHC chini ya Mchechu ilikuwa ni upigaji tu!
Dege Eco Village kule Kigamboni nayenyewe hola hakuna kitu!
Ufisadi ufisadi!
 
 
 

Attachments

  • IMG-20240519-WA0064.jpg
    111.1 KB · Views: 2
Hakuna mwizi hapo, mkuu hakuna mtu anaweza iba pesa ya Serikali... Kama wabisha tulia, mbona litaisha, sana sana watahamishwa, wako wapi waloiba 400ml. Kwa dakika 4????
 
HIvi kwanini waswahili wakipewa madaraka lazima wachoshe watu akili na mikopo inajazwa kama kuna mtu atalipa?? Wakitoka madarakani yaani unakuta hazina hakuna
 
Mjinga wewe, unashadadia MIKOPO?
 
HIvi kwanini waswahili wakipewa madaraka lazima wachoshe watu akili na mikopo inajazwa kama kuna mtu atalipa?? Wakitoka madarakani yaani unakuta hazina hakuna
Si pesa nyepesi hata hazitolewi jasho,hawaojiwi...
 
Huyo kazi yake kuimba ujinga ujinga tu! Hata NHC Morocco iko wazi hakuna wapangaji hata nusu na mradi haujaanza!
Hii miradi ya NHC chini ya Mchechu ilikuwa ni upigaji tu!
Dege Eco Village kule Kigamboni nayenyewe hola hakuna kitu!
Ufisadi ufisadi!
Ile Morocco Complex nikiwa Nyumbani kwa Mzee ,usiku inawaka taa moja tu kila siku...
Anasema miradi inajaza watu....Yani mtu unabisha wakati yeye anaishi Km 600 kutokea huku.
 
HII NCHI MPAKA 2030 ITAKUWA IMEUZWA PAMOJA NA MATOZO BADO KOPA KOPA INAENDELEA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…