greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
- Thread starter
- #81
Hapo umeoneshwa madudu ya hayo mashirika ,unajidai kugeuza hoja....JK hawezi kusingizia Kwa lolote,during his time biashara zilikuwa kedekede mjini
Swali nini Mwendazake aliua Kwa kupora pesa zao na Kupeleka huko mnakosema kwenye Sgr na ujinga mwingine?
Alivuruga sekta ya real estates wawekezaji na wafanyabiashara wakakimbia miradi yote ikakwama kuanzia Morocco Hadi Dege
😂😂😂😂
Eti biashara, ufisadi wa fedha za serikali ndiyo Ufisadi....😂😂😂
Taja hizo biashara zilizokufa.