Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

Mnajenga reli ya sgr mikakati yenu eti iishie moro mbebe abiria tu. Mshindane na abood

Tukiwaambia wekeni reli ya kimkakati kupeleka mizigo congo, Rwanda, Zambia, Uganda wanahujumu
Kwa kuwa wajumbe wa nec na wafadhiri wa chama Wana biashara ya malori

Ccm mmelogwa siyo bure hii kitu
 
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani.

Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar...
Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa.


Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
GENTAMYCINE

source:the citizen
Sijawahi kuona uongozi wa ovyo kiasi hiki miaka ya karibuni. Eti unakubalini ushauri wa kukopa IFM kusaidia hela yako isishuke thamani? IFM wenyewe wako kwenye biashara ya kukopesha nchi hela kwa faida kubwa. Sijui kwa nini viongozi wenye kumshauri mama hadi lini wanatupeleka kwenye madeni ili tubakie kwenye mzingo wa madeni kama wanavyotaka IFM na world bank. Binafsi sijawahi kusikia nchi ya ulimwengu wetu iliyojikomboa ikapata maendeleo kwa kukopa IFM na world bank. Nchi nyingi zinafanya review jinsi zilivyodhurika na mikopo ya hawa wasimamizi wa ubeberu sisi ndio tumerudi tunajiingiza kichwakichwa. Kukopa huko kwa manufaa haihitaji viongozi walafi na wabinafsi kama tulio nao sasa. Kama huwezi kupata dili nzuri yenye manufaa usiende kwa kua watakupa binafsi hela au utapiga panga hela unazokopa ovyo na kusababishia nchi madeni ambayo watalipa watoto na wajukuu zako bila ya wenyewe kua wamepata faida yoyote.
 
Hawa imf ni washenzi bada ya kumpa mtu kasia na mtumbwi yenyewe yanatoa samaki
 
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani.

Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar...
Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa.


Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
GENTAMYCINE

source:the citizen
Pesa za kulipana posho na kununua magari
 
Mashirika ya kinyonyaji hayo ambayo yanafanya nchi masikini kuwa watumwa wa madeni!
 
Mama yenu anakopa imf anakuja kujenga madarasa, akili za kijinga huo ndo uchumi wa wa wapi au ushauri wa Dr. Mwigulu
Nioneshe waliposema hela inaenda kujenga madarasa.

Pili kwani madarasa Yana shida gani? Wewe kima si unajisemesha Kwa vile una tuhela Watoto wako hawasomi.kayumba ila Kwa watu maskini ni jambo la msingi sana Kwa Watoto wao kupata fursa ya Elimu.
 
Back
Top Bottom