Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Nakubali kwamba Magufuli nchi imemshinda, ila sielewi huu 'Wema' wa wazungu kwetu umeanza lini!!
Nijuavyo, wazungu wana permanent interest, hawanaga rafiki wala adui wa kudumu. ******** hata angeua mashoga kwa risasi hadharani, au kumkatakata lissu kama kashoggi, kama asingegusa maslahi ya wazungu ( issue kama acacia, ku ally na China, ku temper na program zao za ukimwi nk) wasinge mgusa wala kutoa tamko lolote. Kuna mahala ******** kagusa maslahi yao, na huwezi kubaki salama ukigusa maslahi yao. ******** aamue kusuka au kunyoa
 
Hivi nikweli magu anaminya demokrasia
 
Huyu dawa yake ni kumfyekelea kule kama Gaddaff/unajua kajikita kwenye maendeleo ya vitu badala ya ustawi wa watu
Madhara zaidi ya haya tuliyonayo?!...haya ni ya magufuli kupinga demokrasia lakini hayo ya USA/EU lengo lake ni kumlainisha mbabe wetu aruhusu watu tupige SIASA sio kuwafunga viongozi wetu gerezani
 
Kwa mtazamo wa mwandishi wa uzi huu,

Kisheria na kanuni, wabunge wa CCM ndio wenye maamuzi ya mwisho kuliokoa taifa letu kwa sasa. Sababu ""Article 46A URT 1977 ACT 2 Of The Laws (IMPEACHMENT OF THE PRESIDENT)"" ya Katiba yetu, inaruhusu Rais kumwagwa bungeni, kwa kupigiwa kura za kutokua na imani nae.

Kura zinatakiwa kua 75% (Robo Tatu Ya Kura Zote Bungeni) za wabunge kuunga mkono kua hawana imani na Rais. Wapinzani hawana uwezo wa kufanya impeachment hata wafanyaje.

CCM wanazaidi ya 50% ya kura bugeni. Hata kikiitishwa kikao cha bunge kwa HATI YA DHARURA (UNDER CERTIFICATE OF URGENCY), bungeni kutaka kufanya Impeachment ya Rais, wabunge wa CCM wakisema wana imani nae, kazi bure.[emoji53] [emoji18]

#Hivi hakuna mafundi wa kuwatia mabusha wabunge wa kike wa CCM, na kuwati BLEED wabunge wa kiume wa CCM kabla hawajatuingiza kwenye uadui na mataifa yenye nguvu???
 
Mabomu hapana vuongozi wote wa CCM wawekewe vyikwazo vya kusafiri nchi za nje Pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa
Spika wa Bunge nae vikwazo tuone
Unadhani Mulla na osama bila mabomu wangelinyooka? Vikwazo havitawaathiri maana watapata kila kitu wanachokihitaji, sisis makabwela ndio tutaumia. Lkini bomu litamshitua sana.... atabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…