Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

Tetesi: Tanzania Kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

mtu kaota ndoto usiku, halafu anasema tetesi.
Ahaaa haaa haaa
 
Kwangu mimi sawa tu...sababu tayari serekali ishatuwekea sisi wananchi vikwazo. Kwenye biashara hali ni mbaya. Kwenye kilimo hali haieleweki, wapi tuuze mazao yetu. Ref korosho. Kwenye ajira nyie wasomi ni mashahidi. Tanzania ndio nchi inaongoza kwa watu wake kutembea na bahasha. Mishahara haipandi, watu wanafanya kazi miaka kibao vyeo havipandi. Vyote hivyo ni vikwazo toka kwa mkololni mweusi ccm.

Tuwekewe vikwazo vya ukweli tusome namba bila kuvuaa miwani.
 
UNITED FRONT ndio mkombozi wetu Wapinzani wa Kweli tuungane CCM imeishiwa na mbinu imenaki kununua bidhaa na kuzijaza kweue Mafuso
 
Kumbuka njaa huondoa uoga wacha njaa ituingie barabara kila mmoja ataenda magogoni bila hofu ya risasi kumbuka risasi imakuua mara moja ila njaa inakuua polepole tena kwa maumivu.
Ni kweli cha msingi tu CCM au CDF afanye jambo jema watuondolee lile kopo la chooni pale kwenye meza ya chakula!!!
 
Back
Top Bottom