Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

IQ Warehouse

Senior Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
136
Reaction score
53
Kutokana na mazoezi ya ndege za kivita yanayoendelea siku za ivi karibuni, nilivutiwa kufatilia nguvu ya jeshi letu JWTZ Afrika.

Imeniuma sana kukuta jeshi letu linazidiwa nguvu na Kenya & Uganda.

===============================


http://www.globalfirepower.com/countries-listing-africa.asp
 
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi
 
Toka mwaka 1978 enzi za Idd Amini, maana alikuwa anaisadiwa na Gaddaf na baadhi ya nchi za Kiarabu zenye uwezo mkubwa.

Ni mambo ma.3 tu yaletayo ushindi vitani!; Uchumi, Silaha, Siasa Makini!
 
Vita si silaha pekee. Maarifa na ujasiri wa wanajeshi vina umuhimu mkubwa.
 
Kwa nilichokisoma karibuni, angola na ghana ndo nchi zilizoinvest sana last two years kwenye majeshi yao ya anga. Sasa zinazidiwa hadi na zimbabwe wasioweza hata kulipa mishahara hadi tarehe 42!
 
hizo listi za kwenye madaftari tu, kama hao malofa wanajiweza waombe mechi za kirafiki na sisi
 
Imategemeana na source ya info yako, kuna moja niliiona, Tz iko top 10 Afrika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…