Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

Khaa!! Mbona tuliambiwa ni nadhamu na uvumilivu??

Mkuu labda uje darasani! Ila kwa kifupi tu, no kwamba!; a force which is inferior but PREPARED can defeat a superior enemy by SUPRISE attack...thanks bro!
 
Hizo ni namba tu ambazo genge la "wahuni" limekaa likaamua kuandaa hizo takwimu..usifanye mchezo na jeshi letu! Nilikuwepo...

Hivi "ulofa" ni ugonjwa au ujinga? Yaan mtu ubabisha bila hata hoja. Mi nilitegemea ukatae kisha useme unachokijua! Acha upumbavu na ulofa mkuu
 
Kwa jinsi nilivyoona maonyesho ya sherehe za muungano jwtz anga wapo vizuri sina hofu na Hilo,hizi Ni propaganda za mashirika ya kuuza silaha ya ulaya na america,mashirika ya mafuta na gesi nk.
pengine wauzaji wanataka kuwapanikisha Tanzania wakanunue silaha kwao badala ya china, au kuchonganisha ionekane Tanzania ni mnyonge wa wote ili wakipigana tenda zote za mafuta zigawiwe upya chini ya uongozi mpya maana Uganda na Kenya watapigwa kama walevi.
nakumbuka huwa wanapenda kutoa takwimu kila wakati kuwa America ina nguvu za kijeshi maradufu kuliko Russia huku America hao hao wakiwaogopa Russia katika suala la Ukraine,himaya ya gesi,madini na mafuta ya arctic
 
Mkuu labda uje darasani! Ila kwa kifupi tu, no kwamba!; a force which is inferior but PREPARED can defeat a superior enemy by SUPRISE attack...thanks bro!
Khaa!! Kwahiyo tulidanganywa? Wewe una rank gani? Au mwalimu wako ana rank gani?
 
Huo ni mpango wa nairobi kutumaliza kisaikolojia sababu wanataka kutuvamia,Tanzania tuko juu sana kijeshi,kwa ushahidi zaidi fuatilia website ya citizen tv ya kenya utaona negative news za kujenga uhasama kama enzi za Iddi Amin,tuko imara na Hatudanganyiki.
 
Tuzichape kwanza tuone na mbabe tuanze Tanzania Vs Kenya,
Hapo ndio ntaamini unachosema
 
Hao Kenya alshabab wanawababaisha mleta thread do not relay on unresearched data toka wauza silaha ndorobo we

Uwezo tulipigana? Vigezo gani vimetumika usilete mada za copy and paste
 
Hakuna kitu kama icho,namibia,botswana,zimbabwe wapo juu ? Mm naimani sana na jeshi la tz..
 
kila raia wa east africa anasema kua jeshi la nchi ake ndo linaongoza katika huu ukanda.
ila mi naweza kusuport kua Tanzania tumepitwa na Kenya & Uganda kwasababu wenzetu wame invest sana kwnye majeshi kwa sababu ya nature ya hali ya usalama ya nchi zao.
Museven wa Uganda aliingia kwa mtutu na hataki kuachia nafasi, eti mpaka na yeye atolewe kwa mtutu na waasi so ni lazima tu jeshi lake limejipanga vilivyo.
Kenya uko ndo balaanjuna! ugaidi umetawala, lazma wameongeza nguvu ya jeshi lao, na ivo wanatuzidi kiuchumi.
Tanzania inaongoza kwa jeshi la Ardhini, sa kwa bahati mbaya siku izi vita vya anga ndo mpango mzima katika ku asses nguvu za kijeshi.
Naona xa ivi ndo wamestuka, wameanza kupasha ndege za kivita!
 
Tz tuko sawa sawa. Experience matters. Tumeshiriki vita zaidi ya kumi!
 
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi

Eti ... unasema Egypt inaongoza duniani kwa nini?? Aisee
 
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi
Mimi mwenyewe nilikuwa nafikiri hivyohivyo niliwahi kusikia marekani na uchina wanashutumiana juu ya bajeti zao za majeshi.
 
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi

Hahaha Egypt duuu unaumwa wewe sio bure kabisash
 
Kwa iyo kama vita hata na kongo tunapigwa , kelele nyingi kumbe hamna kitu nyooooo tanzania mnakula kodi zetu tu hata kenya wanawashinda
 
Eti egpty inaongoza kwa budget kubwa ya ulinzi duniani ? Marekani,Urusi,China,Ufaransa,ujerumani,uingereza,canada na afrika kusini zoote umezitoa..hakuna kitu kama icho ivi egypt wana satelite angani...
 
Hata kama linazidiwa nguvu za kivita, lakini linawazidi wote hao kwa nidhamu, kitu ambacho ni muhimu sana.

Kweli kabisa Mkuu, nidhamu na spirit. Bila ya hivyo vitu hata uwe na silaha gani you're nothing!
 
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi

Duniani? Mkuu naamini humaanishi hivyo!
 
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi

Kuna watu mnaweza kuthubutu kuandika ujinga wa kumshangaza kila kila mtu,eti kwamba Egypt ina bajeti kubwa ya ulinzi kuliko nchi zote duniani,mkuu una akili za kukutosha kweli? Kwa hiyo Egypt imewazidi US,Russia,France,Germany,China,Japan na hata Canada? Jamani let's be serious in God's sake na siyo kupost utumbo,hata huyo aliyepost eti Tanzania inazidiwa kijeshi na Uganda na Kenya he's deadly wrong,wajichanganye wakenya ama waganda kutuchokoza ndo watajua kama kachumbari ni mboga au huwa inasaidia tu,huwezi kui rank TZ kijeshi na kenya au uganda hata kidogo,hizo takwimu ni fake,ni watu walikaa baada ya kuwa wameshiba na kunywa viroba ndo wakaandika takwimu za kilevi hizo.
 
Rudi hadi miaka ya 70 Uganda ilikua juu sana kijeshi kuliko sisi ila kilichowatokea hadi Leo ni historia hizo chat zisikutishe zinapangwa na wazungu kutegemea umefanya nao biashara kiasi gani au unamahusiano mazuri kiasi gani nao
 
Back
Top Bottom