Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
hii repoti inatolewa wauzaji wa silaha duniani
labda kama tz tunatengeneza makombora lugalo ila vichwa vya hayo makombora hatununui njee?
uko sahihi...lakini hii ni report ya CIA ambayo wanabase sana kwa wauzaji wa america....sidhani kama ukinunua silaha urusi, warusi wataanika taarifa hiyo kirahisi rahisi kama wamarekani walivyo.....ingekuwa hivyo Iran, Pakistan, India, Korea ya Kaskazini wasingeweza kufikia hatua ya kutengeneza nyuklia.