Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

Natafuta pikipiki ya kununua ila iwe used ya hali nzuri mawasiliano#0763744181

Unataka ya aina gani.maana naona umechanganyikana.me ninayo TZ A.cc 45.bei panga wewe maana aijtembea kma mika kazaa hivi.ukija ukokote au ubebe
 
Kutokana na mazoezi ya ndege za kivita yanayoendelea siku za ivi karibuni, nilivutiwa kufatilia nguvu ya jeshi letu JWTZ Afrika.

Imeniuma sana kukuta jeshi letu linazidiwa nguvu na Kenya & Uganda.

===============================

African Powers Ranked by Military Strength - 2015
Mkuu Amka,
Nafikiri umeona jinsi ambavyo tumeistukia CCM kwamba walikuwa wakituburuza miaka yooote hiyo kwa kuwa tu watu walikuwa wamelala hawajui chochote,sasa hivi watu wamesoma,wafuatiliaji wa mambo na Bbongo zinachemka haswa ona ccm inavyoumbuka hadi wanaamua kutumia mbinu chafu wazi wazi ili kuendelea kutawala
Lengo langu ni kukujulisha kuwa the Same Scenario applies to the so called western world,for years tulikuwa hatujastukia how they run this world,ila sasa hawatudanganyi.Hizo taarifa hapo juu ni za kupikwa tu kutegemea na una urafiki kiasi gani na wazungu,unafanya nao biashara kiasi gani,There is no way Jeshi la Kenya likawa strong kuliko la Tanzania in any way hata wakenya wenyewe wakiongozwa na rais wao wanalijua hilo,ngoja nitarudi na source lakini kuna mahali nilisoma walimnukuu hata Museveni mwaka jana akisema Kenyan Army is a joke in East Africa at the same time he gave respect to our TZ army japo hakutaka kukiri kuwa tumempita na yeye(hii inaeleweka huwezi kujidharau hata kama ni weak kweli),So amka mkuu sio wakati wa wazungu kutupeleka peleka na mapropaganda yao kwa manufaa yao
 
tatizo jeshi la miaka ya 2000 sio kama lile la miaka ya 1970 hadi 1990.sasa hivi jeshi sio wito kwa vijana ni njaa ndio iliyo wapereka baada ya ajira ya uwakika kukosekana.weeh ushangai kila mtu anataka kuwa mwanajeshi ukimwangalia huyo kijana anaye taka hiyo kazi nguo kavalia matakoni yuko dhaifu kachoka .tofauti na zamani jeshi unalazimishwa
 
Data za kijeshi haziwezi kuwa halisi hata siku moja. lakini pia nguvu za kijeshi pekee hazitoshi kuelezea uwezo wa jeshi hilo, bado kuna mbinu lukuki za kimapambano
 
Mkuu usiongee sana, hili jambo ni nyeti mno. Uwezo wa kila jeshi ni siri nzito kwa jeshi lenyewe, hao wanaleta hizo rankings ni sawa na wapiga ramli tu. DRC tumewasaidia kuwaondoa M23 eti nao leo wako na nguvu kuliko sisi. Ni vyema Africa na Dunia ikaamini kuwa TZ ina jeshi dhaifu halafu mtu aingie kichwa kichwa akione cha moto.

Mungu ibariki Tanzania.

Afadhali umeongea kama mwanaume, kuna watu wamecomment hapo juu mpaka najiuliza kama kuitwa wanaume na wake zao ndani dah ni shida, ndivyo wanavyosema vjina Wa diku hizi.
 
Mkuu Amka,
Nafikiri umeona jinsi ambavyo tumeistukia CCM kwamba walikuwa wakituburuza miaka yooote hiyo kwa kuwa tu watu walikuwa wamelala hawajui chochote,sasa hivi watu wamesoma,wafuatiliaji wa mambo na Bbongo zinachemka haswa ona ccm inavyoumbuka hadi wanaamua kutumia mbinu chafu wazi wazi ili kuendelea kutawala
Lengo langu ni kukujulisha kuwa the Same Scenario applies to the so called western world,for years tulikuwa hatujastukia how they run this world,ila sasa hawatudanganyi.Hizo taarifa hapo juu ni za kupikwa tu kutegemea na una urafiki kiasi gani na wazungu,unafanya nao biashara kiasi gani,There is no way Jeshi la Kenya likawa strong kuliko la Tanzania in any way hata wakenya wenyewe wakiongozwa na rais wao wanalijua hilo,ngoja nitarudi na source lakini kuna mahali nilisoma walimnukuu hata Museveni mwaka jana akisema Kenyan Army is a joke in East Africa at the same time he gave respect to our TZ army japo hakutaka kukiri kuwa tumempita na yeye(hii inaeleweka huwezi kujidharau hata kama ni weak kweli),So amka mkuu sio wakati wa wazungu kutupeleka peleka na mapropaganda yao kwa manufaa yao

Safi sana...that's why I don't trust the so called whitemen
 
unapokuwa mtanzania halisi na unaanzisha huo uzi,, ina maana gani kama hautoi ushauri wa nn kifanyike???

si uungwana kulijadir jeshi letu tukufu kwa nadharia potofu.
 
Mleta mada hujiulizi Tanzania inazidiwa na Democratic Republic of Congo kwa index hiyo lakini juzi kati Tanzania imewafurusha M23 ambao democratic republic of Congo walishindwa. Je.bado unaona uhalali wa index hiyo kweli?
 
Hizo ni takwimu za uchochoroni. Nenda angalau Wikipedia. Tafuta huko halafu uje utuambie.
 
Suala la kuzidiwa kivita unadhani ni jipya?
The only pride tuliyobakia nayo ni kuipiga Uganda tu miaka ile ya zamani.
Unataka kujua zaidi?
 
Back
Top Bottom