AFRICA KWANZA
Member
- Aug 24, 2015
- 14
- 4
Imategemeana na source ya info yako, kuna moja niliiona, Tz iko top 10 Afrika!!
Tanzania inashuka katika kila kitu hata jeshi letu limekuwa la kisiasa sana angalia jinsi nafasi za kwenda jeshini zilivyogubikwa na rushwa, kumbuka kauli ya mnadhimu mstaafu wa jeshi GENERALI SHIMBO wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 alipogeuka kuwa kada wa chama tawala wakati sheria haimruhusu, RAIS KIKWETE wakati amealikwa kwenye sherehe za uhuru wa taifa la MSUMBIJI alikiri kuwa uwezo wa jeshi la MSUMBIJI ni mkubwa kuliko alivyokuwa anafikili tunapaswa tujue TANZANIA ni yetu sote tusipinge kila kitu tukidhani ndio uzalendo.