Mwaka 1978, Tanzania ilikuwa na uchumi gani mzuri ? Kwanza ndo ilikuwa na umri wa miaka 17 tangu ipate uhuru, kama ingekuwa binadamu hata kura ilikuwa haina uwezo wa kupiga.Ni mambo ma.3 tu yaletayo ushindi vitani!; Uchumi, Silaha, Siasa Makini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 1978, Tanzania ilikuwa na uchumi gani mzuri ? Kwanza ndo ilikuwa na umri wa miaka 17 tangu ipate uhuru, kama ingekuwa binadamu hata kura ilikuwa haina uwezo wa kupiga.Ni mambo ma.3 tu yaletayo ushindi vitani!; Uchumi, Silaha, Siasa Makini!
Mwaka 1978, Tanzania ilikuwa na uchumi gani mzuri ? Kwanza ndo ilikuwa na umri wa miaka 17 tangu ipate uhuru, kama ingekuwa binadamu hata kura ilikuwa haina uwezo wa kupiga.
Khaa!! :glasses-nerdy:Cpl usu...au 1.v=vumilia!
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi
Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi???? Nadhani unamaanisha Africa sio duniani kama ulivoandika
CCp
Cp usu...au 1.v=vumilia!
Rudi hadi miaka ya 70 Uganda ilikua juu sana kijeshi kuliko sisi ila kilichowatokea hadi Leo ni historia hizo chat zisikutishe zinapangwa na wazungu kutegemea umefanya nao biashara kiasi gani au unamahusiano mazuri kiasi gani nao
kama vipi tuombe nao hata mechi ya kirafiki tuone nani mbabe
Oops sorry Egypt ni ya 13 duniani na ya kwanza Africa.
Huo ni mpango wa nairobi kutumaliza kisaikolojia sababu wanataka kutuvamia,Tanzania tuko juu sana kijeshi,kwa ushahidi zaidi fuatilia website ya citizen tv ya kenya utaona negative news za kujenga uhasama kama enzi za Iddi Amin,tuko imara na Hatudanganyiki.
Rudi hadi miaka ya 70 Uganda ilikua juu sana kijeshi kuliko sisi ila kilichowatokea hadi Leo ni historia hizo chat zisikutishe zinapangwa na wazungu kutegemea umefanya nao biashara kiasi gani au unamahusiano mazuri kiasi gani nao
Kenya inatuzid vip jesh lao limeshidwa na mgambo wa al shabab ambao hawana mafunzo ya kijeshi
vietnam walipigana na usa na vita vilikua vikali sana bila kuangalia uzito upo juu zaidi.
Ethiopia wanafanya biashara kiasi gani na wazungu wewe zuzu? Usiropokwe bila facts bana!