Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

Ni mambo ma.3 tu yaletayo ushindi vitani!; Uchumi, Silaha, Siasa Makini!

Nakubaliana nawewe kwenye swala la uchumi ndio maana baada ya vita ya kagera hali ya uchumi Tanzania ilikua ni ya kutia huruma.
 
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi

Hapo kwenye red mkuu si duniani bali ni Africa, ila ni Marekani then China ndizo nchi zenye budget kubwa za kijeshi kwa sasa.
 
Tumezidiwa vingi vya maana.hata viongozi wao wametuzidi maana wanaongoza watu na sio wehu na wapumbavu
 
mkuu Ethiopia wana flight 56 jumla kati ya izo 4 ni 787 dream liner na hazitengenezwi Addis Ababa zinanunuliwa nje..kwa Afrika ndio shirika linaloongoza kwa usafiri wa anga hata kaburu hatii mguu hapo..Ethiopian airlines.

Hivyo basi kumaanisha UAE na QATAR wako juu ya Russia na Uchina kijeshi?
 
Kutokana na mazoezi ya ndege za kivita yanayoendelea siku za ivi karibuni, nilivutiwa kufatilia nguvu ya jeshi letu JWTZ Afrika.
Imeniuma sana kukuta jeshi letu linazidiwa nguvu na Kenya & Uganda.
1 Egypt PwrIndx: 0.6214
2 Algeria PwrIndx: 0.8695
3 South Africa PwrIndx: 0.9233
4 Nigeria PwrIndx: 1.1597
5 Ethiopia PwrIndx: 1.2009
6 Morocco PwrIndx: 1.2431
7 Tunisia PwrIndx: 1.4449
8 Kenya PwrIndx: 1.6835
9 Angola PwrIndx: 1.8579
10 Niger PwrIndx: 2.0079
11 Uganda PwrIndx: 2.3122
12 Chad PwrIndx: 2.3587
13 Zimbabwe PwrIndx: 2.3968
14 Ivory Coast PwrIndx: 2.4641
15 Democratic Republic of the Congo PwrIndx: 2.4897
16 Sudan PwrIndx: 2.5529
17 Ghana PwrIndx: 2.5913
18 Central African Republic PwrIndx: 2.6089
19 Namibia PwrIndx: 3.0909
20 Madagascar PwrIndx: 3.2231
21 Republic of the Congo PwrIndx: 3.2754
22 Gabon PwrIndx: 3.3889
23 Cameroon PwrIndx: 3.4577
24 Tanzania PwrIndx: 3.5526
25 South Sudan PwrIndx: 3.5782
26 Libya PwrIndx: 3.5828
27 Zambia PwrIndx: 3.6389
28 Mali PwrIndx: 3.7381
29 Mozambique PwrIndx: 3.8105
30 Somalia PwrIndx: 5.7116

African Powers Ranked by Military Strength - 2015

Ndiyo? Watakia nini vita wewe? Kula ugali ukalale waachie wengine. Blalf....
 
Hapo kwenye red mkuu si duniani bali ni Africa, ila ni Marekani then China ndizo nchi zenye budget kubwa za kijeshi kwa sasa.

Nilikosea tycoon, lakini naona takwimu hizo zina angalia wingi wa jeshi lote kwa ujumla kuanzia bajeti na reserve ya taifa maana Egypt wana reserve ya dhahabu ya $17t na defence budget ni karibia $11b
 
Hivyo basi kumaanisha UAE na QATAR wako juu ya Russia na Uchina kijeshi?

mimi nimekueleza biashara wanayofanya ethiopia na wazungu mambo ya jeshi haiingiliani na biashara yao mkuu. Goggle nyambizi kubwa waliotengeneza warusi inayoweza kutoka nchi kavu kutoka baharini km 10 ikiwa imesheni ndege za kivita,grenade na magari, mambo ya siraha za kijeshi ni siri za kila nchi sio wazi kama watu wanavyotaka tuamini ila mataifa makubwa wakigundua siraha toleo jipya wanatangaza na pia katika biashara na usalama wa nchi husika.
 
inaweza kuwa kweli, leo hii watu wazalendo wana kosa nafasi za kujiunga na jeshi

Yale mambumbumbu yanapewa nafasi.

mtu mwenye nia hapewi kabisa mpaka hongo
Je tutafika?
 
Samahani mkuu,unaweza kutoa specifics ya hiyo "nyambizi" ? Inaitwaje?
 
inaweza kuwa kweli, leo hii watu wazalendo wana kosa nafasi za kujiunga na jeshi

Yale mambumbumbu yanapewa nafasi.

mtu mwenye nia hapewi kabisa mpaka hongo
Je tutafika?

Mkuu,kuna aina nne ya watu wanotaka kwenda jeshini
  • Kuna ambao ni wazalendo
  • Kuna ambao ni tamaduni kutokana na jamii au familia zao.Mfano Wakurya
  • Kuna ambao wamekosa kazi mtaani mfano maafisa amabao ni graduates
  • Na kuna ambao wanatafuta njia halali za kufanya mauaji

Kulisemea kundi moja ni kuwa biased
 
Hizo ni namba tu ambazo genge la "wahuni" limekaa likaamua kuandaa hizo takwimu..usifanye mchezo na jeshi letu! Nilikuwepo...

ukiona mtu analeta utani kwenye mambo ya msingi ujue ameishiwa sera,tanzania mmeweka uswahili,wizi na 10 % mbele kwenye kila kitu na haya ndo matokeo yake
 
TPDF is a big joke!.....no offense its just an honest opinion.
 
Nimekusikia mama mwaswast mrembo nimemaind jina tu ni hivi mrembo hizi chart kama sijakosea zimepangwa na super power nation mahusiano na kutrade nao ni moja ya fact tu nilizotaja ziko fact nyingi za wazi na za siri Ethiopia huwezi jua mahusiano yao ya siri na wapabgaji hizo chart ok na jua umebakiza bikra moja niwekee
 
Samahani mkuu,unaweza kutoa specifics ya hiyo "nyambizi" ? Inaitwaje?

check nuclear powered attack submarine sikumbuki ni genaration ipi zipo nne..au sputinic.com nenda katika vifaa vya kijeshi hapo...
 
Hawa wote waache wapite tu sisi tunawazidi sana kwenye nidhamu ya uoga na kutanguliza vitu visivyo na maana kwa maslahi binafsi.
 
Back
Top Bottom