Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

Hahahahaha..
Nenda ngerengere ukajionee vyombo ndugu.
Kenya wapo juu yetu sababu wameonesha zana zao Somalia
 
Hiyo Index inaangalia spending kwenye masuala ya Kijeshi, Kenya wako vitani Somalia kwa hiyo wanaspend heavily kwenye Jeshi, Uganda wako vitani kaskazini na Pia wana majeshi Sudan Kusini
 
Tanzania ni ya sita kijeshi africa.sielewi huwa mnatumia source gani.

Kikosi maalumu cha makomandoo cha tanzania (special force) ni miongoni mwa vikosi hatari 35 duniani.

Tanzania ni ya 27 kwa ubora duniani na kwa africa ni cha kwanza kwa ubora.
 
Sniper asante kwa kuwaelewesha. kuanzia mleta mada mpaka na wachangiaji wengi hawajaelewa chochote kwenye hiyo content iliyoletwa humu. hii ni aibu kwa taifa kuwa na watu wenye uelewa mdogo kiasi hiki!

kidogo zemasala amejaribu kujiuliza swali logic kidogo based kwa kile alichoongezea mleta mada. at least!
Wewe ndo huelewi tena ni mbuzi kabisa. Kwa akili yako ndogo, unathani mtu kutofahamu mambo ya nguvu za kijeshi ndo haelewi kila kitu, kuna vitu ambavyo wanaelewa ambavyo wewe hivijui. Na kwa taarifa yako, kujifanya unajua kila kitu ndo ujinga mkubwa.
 
Hizo ni takwimu zilizozingatiwa na nguvu za silaha na budget ya ulinzi, ukubwa wa jeshi na vifaa gani wanavyo kwa mfano angani, baharini, na nchi kavu na sio nguvu ya kupigana
Takwimu na za CIA. Egypt inaongoza duniani kwa bajeti ya ulinzi na ukubwa wa jeshi
We mbulula kwelikweli! sa nguvu ya kupigana utaipata wapi kama hivyo vifaa huna vya kutosha na vya kisasa? kwani wanapigana makonde na mateke? Fikiria kabla ya kuandika mbulula!
:bange::bange::bange:
 
Hahahahaha..
Nenda ngerengere ukajionee vyombo ndugu.
Kenya wapo juu yetu sababu wameonesha zana zao Somalia

Ni bora useme huko Somalia Kenya wameonyesha nini kilicho bora kuliko Tz....
 
We mbulula kwelikweli! sa nguvu ya kupigana utaipata wapi kama hivyo vifaa huna vya kutosha na vya kisasa? kwani wanapigana makonde na mateke? Fikiria kabla ya kuandika mbulula!
:bange::bange::bange:
Angekuwa baba yako ningemjibu
 
We mbulula kwelikweli! sa nguvu ya kupigana utaipata wapi kama hivyo vifaa huna vya kutosha na vya kisasa? kwani wanapigana makonde na mateke? Fikiria kabla ya kuandika mbulula!
:bange::bange::bange:

Idi amini alikuwa na vifaa vingi bora kuliko tz lakini watumiaji wa hivyo vifaa hawakuwa mahili vya kitosha,,,,,

Mfano umenunua sukhoiy 35,,,ndege ambayo ni ya kisasa zaidi lakini ukawa na marubani wenye uwezo wa kuipeleka juu na kutua tu ,,,,itakufaa nini vitani hata kama umenunua su35 mianane?
 
Kutokuelewa content ni shida sana naona jamaa kaachika ameamua kumalizia hasira humu.
Ndio hao wanaoanzia kuoga miguuni simshangai
 
Wewe ndo huelewi tena ni mbuzi kabisa. Kwa akili yako ndogo, unathani mtu kutofahamu mambo ya nguvu za kijeshi ndo haelewi kila kitu, kuna vitu ambavyo wanaelewa ambavyo wewe hivijui. Na kwa taarifa yako, kujifanya unajua kila kitu ndo ujinga mkubwa.
swali ni hili; umeelewa bandiko la mleta thread? naona umekuja na maneno meeeeeeeeeengi badala ya kujibu hoja.
 
Tanzania Taarifa zake nyingi bado ziko confined ...Kim baadhi ya mambo yake haiyaweki Wazi na hiyo imekuwa sera ya jeshi ya usiri ......aghalabu ...ukiondoa majenerali hadi makanali wachache wenye access ya kupata information ya jeshi Zima ...Wapo maafisa wengi Tu ambao hata wao hawana Taarifa kamili za uwezo wa jeshi Zima ...zaidi ya matawi ambayo wanahudumu.
Major mfano ambaye Ana serve Artillery .....Yuko busy kiasi hajui kuna nini kinaendelea kikosi cha Nyani wa Mwituni Moro ....lakini pia wanategemeana ...mfano Air Force commander hawezi kurusha Ndege bila mawasiliano na Land force , Navy ...kupitia Air defense ...na mawasiliano ...KWA ujumla ....hii ni mzuri na Salama ..
 
Jeshi letu liko vizuri.achana na mambo ya makaratasi.
 
Wewe kama umelogwa vile jeshi letu lisikiage tu kwa mbali hizo takwimu zenu ni propaganda gusa unase

naliiheshim jeshi letu ila hii report ipo huru na iko updated kila mwaka kulingana na vifaa vinavyonunuliwa na kuuzwa

ongeeni kwa takwim na sio hisia
 
Tanzania Taarifa zake nyingi bado ziko confined ...Kim baadhi ya mambo yake haiyaweki Wazi na hiyo imekuwa sera ya jeshi ya usiri ......aghalabu ...ukiondoa majenerali hadi makanali wachache wenye access ya kupata information ya jeshi Zima ...Wapo maafisa wengi Tu ambao hata wao hawana Taarifa kamili za uwezo wa jeshi Zima ...zaidi ya matawi ambayo wanahudumu.
Major mfano ambaye Ana serve Artillery .....Yuko busy kiasi hajui kuna nini kinaendelea kikosi cha Nyani wa Mwituni Moro ....lakini pia wanategemeana ...mfano Air Force commander hawezi kurusha Ndege bila mawasiliano na Land force , Navy ...kupitia Air defense ...na mawasiliano ...KWA ujumla ....hii ni mzuri na Salama ..
hii repoti inatolewa wauzaji wa silaha duniani
labda kama tz tunatengeneza makombora lugalo ila vichwa vya hayo makombora hatununui njee?
 
Back
Top Bottom