hii repoti inatolewa wauzaji wa silaha duniani
labda kama tz tunatengeneza makombora lugalo ila vichwa vya hayo makombora hatununui njee?
unapokuwa mtanzania halisi na unaanzisha huo uzi,, ina maana gani kama hautoi ushauri wa nn kifanyike???
si uungwana kulijadir jeshi letu tukufu kwa nadharia potofu.
Toka lini nidhamu tu ishinde vita?
hizo listi za kwenye madaftari tu, kama hao malofa wanajiweza waombe mechi za kirafiki na sisi
Akili za broilers!
Bila nidhamu hushindi vita huenda hata chipukizi au mgambo hujajifunza waambieni hao wenye powerindex nzuri kama hatutakunywa chai kwao
Hata kama linazidiwa nguvu za kivita, lakini linawazidi wote hao kwa nidhamu, kitu ambacho ni muhimu sana.