Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona.
Waandishi hao ni Clinton Isimbu (22) na Kaleria Shadrack (23) wa kituo cha Elimu TV.
TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha Sheria.