Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
TZ Kuna Corona Sasa hao walifuata Nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Alafu ndiyo korona itaisha?Mnafuata nini Tanzania nyie watu, si tuna Corona sisi wote kwanini nyie mteseke? Waache wakanyee debe miaka 10 manyang'au hao
Hawajaogopa corona?Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Hao wanahabari wana ujasiri, itakula kwao, yaani ni kama uingie Korea kaskazini kwenda kuwahoji hali ya corona au maisha yao, utapotezwa....
Jamaa kwa sasa wana hasira ya kutengwa na majirani zao wote.
Afadhali wangekamata ng'ombe, vifaranga, raia wa kawaida au hata watumishi wa umma. Hapo kwa wanahabari wamechemsha sio mchezo. Hii move ni sawa na kuchokonoa mzinga wa nyuki. Itabidi GoT wajitayarishe kisaikolojia kwa mapigo ya hali ya juu kutoka kwa "4th Estate", kama wanavopenda kujiita. Yaani kwa kifupi, cartels au magenge ya wanahabari, na sizungumzi kuhusu wakenya, serikali ya Kenya wala media za Kenya.
Mnafuata nini Tanzania nyie watu, si tuna Corona sisi wote kwanini nyie mteseke? Waache wakanyee debe miaka 10 manyang'au hao
Hiyo tu tayari ni jinai,sneak in and violation of immigration act,ni jela miezi sita,bado hatujaona content iliokuwemo kwenye vitendea kazi vyao
Kiherehere kimewaponza.
Hao walitaka kutengeneza story kwamba hali ni mbaya sana
Funga hao miaka 30 kwa kuhujumu uchumi wa tanzania
Kamwana Uhuru amesema mipaka umefungwa kwa abiria wote sasa hao walifika huko Arusha kama mizigo? na wanafanya kazi ya uandishi wa habari TZ kwa Kibali kutoka kwa nani?
Hio ndio faida ya kukurupuka, watalia na kusaga meno...
wakenya wanatuzoea sana.ngoja tuwaonyeshe kwanza mfano iwe fundisho kwa rwanda na malawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mngekua mnapiga kelele hivi,Tuonane Mahakamani wakaone aibu zetu
Off topicMngekua mnapiga kelele hivi,
1. Maxence Mello hangehangaishwa na serikali yenu CCMu.
2. Mr Gwanda (a Mwananchi Communications Limited correspondent) was abducted in November 2017 na hajapatikana Hadi sasa tena mwanahabari ishara tosha kuwa mnaishi Nchi Haina Uhuru wa kujieleza.
3. JF haingefungwa Kama ilivyofanyika hapo awali na wengi wenu tukawakaribisha Land of the FREE Kenyatallk na kuwawekea sehemu ya Tanzania Kama mandugu.
Kuwakamata wanahabari ni jinsi moja ya kuzuia ukweli kufichuliwa. Bahati walionayo hao wanahabari ni kuwa wanajulikana ni wakenya la sivyo wangepotezwa Kama Mr. Gwanda.
Hao wanahabari wana ujasiri, itakula kwao, yaani ni kama uingie Korea kaskazini kwenda kuwahoji hali ya corona au maisha yao, utapotezwa....
Jamaa kwa sasa wana hasira ya kutengwa na majirani zao wote.
In topicOff topic
Kwa jirani Moto ukiwaka itabidi uingilie Kati la sivyo utateketea pia. What Kenya, Zambia, Uganda and Rwanda are doing is to protect their people. Wewe unawachilia watoto wako wazurure ovyo ovyo?Sis timetengwa na Nan? Yan uku mnasema mmetutenga alafu nyie hao hao. Ndio mnaleta mapua yenu kwenye nch ya asali na maziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapige mushene na wamama wa ploti.Mngekua mnapiga kelele hivi,
1. Maxence Mello hangehangaishwa na serikali yenu CCMu.
2. Mr Gwanda (a Mwananchi Communications Limited correspondent) was abducted in November 2017 na hajapatikana Hadi sasa tena mwanahabari ishara tosha kuwa mnaishi Nchi Haina Uhuru wa kujieleza.
3. JF haingefungwa Kama ilivyofanyika hapo awali na wengi wenu tukawakaribisha Land of the FREE Kenyatallk na kuwawekea sehemu ya Tanzania Kama mandugu.
Kuwakamata wanahabari ni jinsi moja ya kuzuia ukweli kufichuliwa. Bahati walionayo hao wanahabari ni kuwa wanajulikana ni wakenya la sivyo wangepotezwa Kama Mr. Gwanda.
Nitangulie Mamayao na uwape salamu zangu hao wamama wa ploti.Kapige mushene na wamama wa ploti.
Sawa mwenyekiti wa chama cha wamama kenya.Nitangulie Mamayao na uwape salamu zangu hao wamama wa ploti.
Alafu ndiyo korona itaisha?
Sis timetengwa na Nan? Yan uku mnasema mmetutenga alafu nyie hao hao. Ndio mnaleta mapua yenu kwenye nch ya asali na maziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kuwa Wakenya wengi ikiwemo hawa wanahabari, hufikiri Tanzania is a beacon of democracy lakini kumbe Tanzania is just another dictatorship pretending to be a democracy.Hao wanahabari wana ujasiri, itakula kwao, yaani ni kama uingie Korea kaskazini kwenda kuwahoji hali ya corona au maisha yao, utapotezwa....
Jamaa kwa sasa wana hasira ya kutengwa na majirani zao wote.
Hamna mambo ya umeme kukatika. Mbona mimi nina umeme?
Mngekua mnapiga kelele hivi,