Tanzania kwa kuogopa aibu, imekamata Wanahabari wawili wa Kenya

Tanzania kwa kuogopa aibu, imekamata Wanahabari wawili wa Kenya

Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.

Umbea wao unawa-cost
Kwani kwao hakuna Corona au kiherehere kinawasumbu a kufatilia mambo ya Tanzania?

Nyang'au wana mambo ya ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.

Kenya ita retaliate itakua vituko sasa!

Mawe anaficha maradhi kifo lazima kimuumbue big time!
 
Mngekua mnapiga kelele hivi,
1. Maxence Mello hangehangaishwa na serikali yenu CCMu.
2. Mr Gwanda (a Mwananchi Communications Limited correspondent) was abducted in November 2017 na hajapatikana Hadi sasa tena mwanahabari ishara tosha kuwa mnaishi Nchi Haina Uhuru wa kujieleza.
3. JF haingefungwa Kama ilivyofanyika hapo awali na wengi wenu tukawakaribisha Land of the FREE Kenyatallk na kuwawekea sehemu ya Tanzania Kama mandugu.

Kuwakamata wanahabari ni jinsi moja ya kuzuia ukweli kufichuliwa. Bahati walionayo hao wanahabari ni kuwa wanajulikana ni wakenya la sivyo wangepotezwa Kama Mr. Gwanda.
Mwngine huyu hapa kapewa kesi ya uhujumu uchumi[emoji23][emoji23][emoji23]
Na bado wamekaa kimyaa
Screenshot_20200513-202744_Facebook.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali wangekamata ng'ombe, vifaranga, raia wa kawaida au hata watumishi wa umma. Hapo kwa wanahabari wamechemsha sio mchezo. Hii move ni sawa na kuchokonoa mzinga wa nyuki. Itabidi GoT wajitayarishe kisaikolojia kwa mapigo ya hali ya juu kutoka kwa "4th Estate", kama wanavopenda kujiita. Yaani kwa kifupi, cartels au magenge ya wanahabari, na sizungumzi kuhusu wakenya, serikali ya Kenya wala media za Kenya.
Du !! Ungejua kwanza tunawachoma sindano za siri tunazo zijua sisi tu

Send by APOLO 1
 
Afadhali wangekamata ng'ombe, vifaranga, raia wa kawaida au hata watumishi wa umma. Hapo kwa wanahabari wamechemsha sio mchezo. Hii move ni sawa na kuchokonoa mzinga wa nyuki. Itabidi GoT wajitayarishe kisaikolojia kwa mapigo ya hali ya juu kutoka kwa "4th Estate", kama wanavopenda kujiita. Yaani kwa kifupi, cartels au magenge ya wanahabari, na sizungumzi kuhusu wakenya, serikali ya Kenya wala media za Kenya.
Unaongea utoto, Nenda Kakojoe ukakale

Umefika darasa la ngapi.??what are you smoking??9
 
Ndio maana nimewaona wajasiri, hao wanahabari ni kama umkute huyu kwenye hii picha akiwa kwenye hali hii halafu unajifanya kiherehere cha kutaka kumsaidia, kwanza hapo atakutia makucha yaani hata kumshika ni shughuli.....wafanyeni mtakalo, kwa sasa Tz kwa hasira zenu na balaa ya kuogelea kwenye corona mbaki hivyo hivyo huko...

people-stand-around-a-leopard-with-its-head-stuck--1443686920689.jpg
Ukijua kinacho wakuta uwezi waita majasiri maana hata wenyewe wameshajijua ni mafara """ watajua wao siyo majasiri """

Send by APOLO 1
 
Mkenya ambaye atajifanya hadi sasa haijui Tanzania ilivyo atakua na matatizo, kwanza kwa awamu hii, ina maana wanahabari hawakumbuki jamaa aliyekimbilia huku kama ameliwa risasi 38, yule anaitwa Tundu Lissu. Halafu hiyo ndio nchi unakwenda kuhoji hoji.
Watz waachwe wlivyo watajauana wenyewe, ikitokea una shughuli lazima uende kwao huko, jitie ububu kabisa, wala hata usitazame taarifa zao za habari maana utajikuta unaongea kuzihusu maana wengi hatujazoea wanachopitia, utajisahau udhani uko kwenye nchi yenye uhuru kama kwetu.
Piga kimya, shughulika na issues zako kisha geuza mara moja, kama vipi agiza magazeti ya Kenya, yapo yanauzwa huko.
Good ....now you are talking ....mind your own business ..
 
Back
Top Bottom