GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wenye tuliwaapimia.
Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Mkuu umesahau nzigesafi sana ukosefu wa umeme, floods, kuvunjiwa nyumba kuko Kunyaland na hawaripoti, wanafuata nn huku?
Huu mdomo ndo kila siku unawaponza" labda nikuulize, maswala ya watanzania yanawahusu nini nyie wakenya? kwanini msishughulikie ukabila ambao unawasumbua kwa miaka mingi, ama matatizo mengine mlionayo kwasasa?Wale 84 wa janaa je? Hao pia wamepona?
Wahuni,wanaingia TZ bila kufuata utaratibu,tatueni tatizo la maji Nairobi na maandamano ya "fake lockdown"Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Diplomatic grudges tayariTanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Bado wanafikiri hii ni ile Tanzania ya Kikwete..watahadithia walah.Kamwana Uhuru amesema mipaka umefungwa kwa abiria wote sasa hao walifika huko Arusha kama mizigo? na wanafanya kazi ya uandishi wa habari TZ kwa Kibali kutoka kwa nani?
Hio ndio faida ya kukurupuka, watalia na kusaga meno...
wanaona gere..wanaona gereee...nasema tena wanaona gere hao wanaona gere..gere..gere