Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sis timetengwa na Nan? Yan uku mnasema mmetutenga alafu nyie hao hao. Ndio mnaleta mapua yenu kwenye nch ya asali na maziwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kuwa Wakenya wengi ikiwemo hawa wanahabari, hufikiri Tanzania is a beacon of democracy lakini kumbe Tanzania is just another dictatorship pretending to be a democracy.
Advice nzuri kwa Wakenya wanaopanga kutembelea Tanzania hivi karibu. Hawa watu hawataki kukosolewa hata kidogo. Wacha tuwaache na mashida zao.Mkenya ambaye atajifanya hadi sasa haijui Tanzania ilivyo atakua na matatizo, kwanza kwa awamu hii, ina maana wanahabari hawakumbuki jamaa aliyekimbilia huku kama ameliwa risasi 38, yule anaitwa Tundu Lissu. Halafu hiyo ndio nchi unakwenda kuhoji hoji.
Watz waachwe wlivyo watajauana wenyewe, ikitokea una shughuli lazima uende kwao huko, jitie ububu kabisa, wala hata usitazame taarifa zao za habari maana utajikuta unaongea kuzihusu maana wengi hatujazoea wanachopitia, utajisahau udhani uko kwenye nchi yenye uhuru kama kwetu.
Piga kimya, shughulika na issues zako kisha geuza mara moja, kama vipi agiza magazeti ya Kenya, yapo yanauzwa huko.
Na mtuache kweli, baba mwenye mji wake unakuja kumpangia siku za kulala na mke wake utegemee akuchekee! Pangiweni nyinyi wenyewe, sisi hatupangiwi ila tunapanga ya kwetu kivyetu.Advice nzuri kwa Wakenya wanaopanga kutembelea Tanzania hivi karibu. Hawa watu hawataki kukosolewa hata kidogo. Wacha tuwaache na mashida zao.
Washenzi sana nyie watu, hao waandishi walikuwa ni vifurushi? watawahadithia.Advice nzuri kwa Wakenya wanaopanga kutembelea Tanzania hivi karibu. Hawa watu hawataki kukosolewa hata kidogo. Wacha tuwaache na mashida zao.
Mkenya ambaye atajifanya hadi sasa haijui Tanzania ilivyo atakua na matatizo, kwanza kwa awamu hii, ina maana wanahabari hawakumbuki jamaa aliyekimbilia huku kama ameliwa risasi 38, yule anaitwa Tundu Lissu. Halafu hiyo ndio nchi unakwenda kuhoji hoji.
Watz waachwe wlivyo watajauana wenyewe, ikitokea una shughuli lazima uende kwao huko, jitie ububu kabisa, wala hata usitazame taarifa zao za habari maana utajikuta unaongea kuzihusu maana wengi hatujazoea wanachopitia, utajisahau udhani uko kwenye nchi yenye uhuru kama kwetu.
Piga kimya, shughulika na issues zako kisha geuza mara moja, kama vipi agiza magazeti ya Kenya, yapo yanauzwa huko.
Withambe moko [emoji12]Wewe neno mushene ulilijulia hapa Kenya. Hilo sio neno la kiswahili hata kidogo. Hilo ni neno la kikuyu. Kwa hivyo lazima umeishi Kenya kwa muda mrefu.
Wajinga nyinyi. Hangaikeni na ya Kenya.Kwa jirani Moto ukiwaka itabidi uingilie Kati la sivyo utateketea pia. What Kenya, Zambia, Uganda and Rwanda are doing is to protect their people. Wewe unawachilia watoto wako wazurure ovyo ovyo?
safi sana ukosefu wa umeme, floods, kuvunjiwa nyumba kuko Kunyaland na hawaripoti, wanafuata nn huku?
kwanini hamkuwaambia[emoji23][emoji23]Hao wanahabari wana ujasiri, itakula kwao, yaani ni kama uingie Korea kaskazini kwenda kuwahoji hali ya corona au maisha yao, utapotezwa....
Jamaa kwa sasa wana hasira ya kutengwa na majirani zao wote.
Kuliwa kiboga ndio kufanyiwa nini?Enhee wewe sasa ndio umeijulia Tz. Ushaliwa kiboga ndo maana. Anyone else from Kunya would like to share experience too? Thank you MK254 for sharing this!
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief hiyo resource unayoshauri itumike kuwafunga hao waandishi ingetumika kwenye mikakati ya kupambana na korona ndicho namaamisha.Kwani wakiruhusiwa waendelee na huo udadisi wao ndiyo wangeimaliza Corona? Nina wasiwasi umedukuliwa nywila yako ya JF, hii sio comment toka kwa Daudi Mchambuzi wa JF
Hiyo mikakati kamshauri Rais wako Mlevi UhuruChief hiyo resource unayoshauri itumike kuwafuwanga hao waandishi ingetumika kwenye mikakati ya kupambana na korona ndicho namaamisha.
We mbona unaongeaga ujinga tu fanya siku hata moja uongee point.lakini hiyo yote kwa sababu unachuki na tz.Hao wanahabari wana ujasiri, itakula kwao, yaani ni kama uingie Korea kaskazini kwenda kuwahoji hali ya corona au maisha yao, utapotezwa....
Jamaa kwa sasa wana hasira ya kutengwa na majirani zao wote.