Naomba wafungwe nyoko zenu!Hamna mambo ya umeme kukatika. Mbona mimi nina umeme?
Aibu gani wakati karibia wagonjwa wote waliyoko karantini wanakaribia kupona na watalii washajaza ndege Tayari kwa kuja kutalii mwezi wa nane.yaani hali ni nzuriTanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Wale 84 wa janaa je? Hao pia wamepona?Aibu gani wakati karibia wagonjwa wote waliyoko karantini wanakaribia kupona na watalii washajaza ndege Tayari kwa kuja kutalii mwezi wa nane.yaani hali ni nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mkae kwenu jamani?Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Hata kibatari nacho.ni.umeme,hata tochi inatoa umemeHamna mambo ya umeme kukatika. Mbona mimi nina umeme?
Sawa bwana hakimuMnafuata nini Tanzania nyie watu, si tuna Corona sisi wote kwanini nyie mteseke? Waache wakanyee debe miaka 10 manyang'au hao
Tanzania imewatia mbaroni wanahabari wawili wa Kenya waliokuwa wakifanya mahojiano Arusha na wenyeji kuhusu ugonjwa wa corona. TZ inatoa madai kuwa wanahabari hao waliingia nchini humo kinyume cha sheria.
Hao walitaka kutengeneza story kwamba hali ni mbaya sana
Hiyo tu tayari ni jinai,sneak in and violation of immigration act,ni jela miezi sita,bado hatujaona content iliokuwemo kwenye vitendea kazi vyaoKamwana Uhuru amesema mipaka umefungwa kwa abiria wote sasa hao walifika huko Arusha kama mizigo? na wanafanya kazi ya uandishi wa habari TZ kwa Kibali kutoka kwa nani?
Hio ndio faida ya kukurupuka, watalia na kusaga meno...