Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Bro you are lost and mistaken ...ever heard of human resource?Kenya prides itself for that .we have one of the best human resources in Africa and it's exported all over the world.
That's in actuality a myth, just like most that are propagated to inflate egos.

Come to think about it, 'what parameters do you use to measure 'best'.

Slaving away in an Arabian housekeeping role, is that part of being "the best human resources"?
 
sababu zipi za kisiasa wakati headquaters za ORACLES, GOOGLE, FACEBOOK zote wamekimbilia kenya? siasa gan sasa apa

View attachment 1394889

hizi ni baadhi ya investment tu upande wa tech kenya! i can guarantee you tanzania has a long way to go! Do you know kenya has elecric cars already? self driving cars also! anyway nahitimisha, i have dealt with tech miaka mingi sana and nkikwambia hawa jamaa ni moto wa kuotea mbali i mean it, Tanzania hata zile gari za kuchora google maps hakuna, you cant move along the streets with google maps, whatever utakavochukulia kama ni siasa or whatever but to the level of investment kenya, we have a long way to go
Yaani wewe kweli ni kiazi aisee.

Kwa hiyo huu ndio utajiri uliousema ni mkubwa zaidi kushinda uchumi wote wa nchi ya Tanzania?
 
sababu zipi za kisiasa wakati headquaters za ORACLES, GOOGLE, FACEBOOK zote wamekimbilia kenya? siasa gan sasa apa
Ni sisasa kwa kuwa haya makampuni hayawezi kuwekeza nchi yoyote bila serikali yao kuruhusu. Nchi masikini za Afrika kuwa na hayo makampuni lazima ziwe koloni kwa namna fulani. Pale sheria za nchi hizo zitakapobadilika na kuwa huru kwa wananchi, hayo makampuni yatakimbia.
 
People still reason like this in the 21st century🧐🧐🧐!!! Kazi iko. What’s with Tanzanians and this Mabeberu vybe? Is it something you are taught in school?
 
People still reason like this in the 21st century🧐🧐🧐!!! Kazi iko. What’s with Tanzanians and this Mabeberu vybe? Is it something you are taught in school?
Your naivety on these matters is beyond measure, so you really think these companies are in kenya because of a conducive environment? If Kenya is such a great country for business, how come you don't have more millionaires than us?
 
Ata nimechoka wewe endelea kulaumu mabeberu for every damn thing like you were taught in school. Wacha sisi tuchape kazi na hao hao mabeberu at the end of the day the economic numbers will speak for themselves.
 
Sasa hapo ndio jambo linashangaza dunia, kwanini Wakenya mnapenda kupika na kubadilisha mambo ambayo yako wazi kabisa
1)Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2)Oldivai gorge ipo Kenya
3)Kenya kuna matajiri wengi kuliko Tanzania
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekushinda jomba...usijali, itabidi umezoea tu lkn lazima tuwape ukwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio sababu nikakuambia umsikilize kwa umakini sana Dr. Ndii na usome article zake, uchumi wa Kenya ni Kama wa South Africa na Zimbabwe ya zamani, ambapo Uhuru wao ulibaki wa kisiasa pekee ambapo watu weusi ndio wanaongoza nchi lakini njia nyingi za uzalishaji Mali, hasa ardhi bado zipo mikononi wa wageni na wanasiasa, jambo ambalo EFF wanapigana kulibadilisha, na ANC wameshapeleka muswada bungeni.

Kuhusu gap kati ya masikini na tajiri, duniani kote kuna matajiri Sana na masikini Sana, Marekani kuna Bill Gate akiwa na $80B, Wakati kuna raia wanalala barabarani, lakini bado wanasema pengo Kati ya masikini na matajiri ni dogo, hii ni kwasababu halipimwi kwa kutumia Mtu mmoja mmoja.

Tanzania inaongoza katika nchi zilizo kusini mwa sahara katika Kigezo cha "Economic inclusivity", hii maana yake ni kwamba ushirikishaji wa wananchi, na mgawanyo wa kinachopatikana kwa wananchi wote ni mzuri kuliko nchi zingine, Kenya ni tofauti Sana, 52% ya mapanto ya nchi hutumika kulipa mishahara kwa watumishi wa serikali, ambao ni 2% wa raia wote, sasa huo ni mgawanyo gani?, tena kati ya hao watumishi wa serikali 70% wanataka makabila mawili au matatu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo mwenzako akakwambia utembee kwanza kabla ya kupayuka mitandaoni..

Sasa km unasema wafanyikazi kenya wanatokea katika makabila matatu tu..yani nilicheka sana kwkuwa hujui unachokisema...

Wacha nikuelimishe kidogo, kenya kuna 47 counties..katika hzo counties ajira zote kutokea mawaziri hadi wanaofagia 70% lazima wawe ni locals. Then hyo 30% sasa ndipo wataamua km wataajiri waru kutoka county gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sisasa kwa kuwa haya makampuni hayawezi kuwekeza nchi yoyote bila serikali yao kuruhusu. Nchi masikini za Afrika kuwa na hayo makampuni lazima ziwe koloni kwa namna fulani. Pale sheria za nchi hizo zitakapobadilika na kuwa huru kwa wananchi, hayo makampuni yatakimbia.

sio kweli. hizi kampuni hazifanyi kazi tu nchi za arfika, mfano google,facebook,apple ina headquaters nyingi sana duniani. mfano apple wameruhusu china kumanufacture simu zao kwa kutumia viwanda vya china which is very normal, most of the works wanafanya hazihusiani na politics, mfano ya izi nlizokutajia kwa africa hua znatumika kama support centers kwa wateja wao, ina maana unaweza ukawa na tatizo badala ya kwenda mpaka headquaters marekani ukapata msaada tu apo apo kwenye branch!
 
Yaani wewe kweli ni kiazi aisee.

Kwa hiyo huu ndio utajiri uliousema ni mkubwa zaidi kushinda uchumi wote wa nchi ya Tanzania?

we mbna sio mwelewa? nmesema i have used tech as an example because ndo nliowork nayo! infact tech is even bigger, nkupe mfano,

1584960401988.png

1584960452409.png

1584960541752.png

hii inamaanisha apple itself as a company is more valuable than all east africa combined! revenues za Tanzania from tourism alone ni around $2B, that means kila kitu nchini is less valuable than the company yoyote unayooiona apo!

--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
afterall kwani unachobisha ni nn? kwamba Tanzania is rich than kenya ndo unachotaka kusema? thats very easy to prove to you ubishi uishe

Tanzania national budget is around $14.3B
Kenya national budget is around $30B

Mbna very easy apa hakuna mbwembwe zinazohitajik, the budget ni kipimo kizuri cha kujua tu uzito wa pesa kwenye nchi yako, sasa unataka kubisha nn?
 
we mbna sio mwelewa? nmesema i have used tech as an example because ndo nliowork nayo! infact tech is even bigger, nkupe mfano,

View attachment 1396842
View attachment 1396843

View attachment 1396844

Nenda kawaambie wale hiyo GDP kama hawatakutoa ngeu.

Ndio maana nakwambia unaupungufu mkubwa katika uelewa wa haya mambo ya maendeleo.
 
sio kweli. hizi kampuni hazifanyi kazi tu nchi za arfika, mfano google,facebook,apple ina headquaters nyingi sana duniani. mfano apple wameruhusu china kumanufacture simu zao kwa kutumia viwanda vya china which is very normal, most of the works wanafanya hazihusiani na politics, mfano ya izi nlizokutajia kwa africa hua znatumika kama support centers kwa wateja wao, ina maana unaweza ukawa na tatizo badala ya kwenda mpaka headquaters marekani ukapata msaada tu apo apo kwenye branch!
kwa nini Kenya na siyo Botswana?
we mbna sio mwelewa? nmesema i have used tech as an example because ndo nliowork nayo! infact tech is even bigger, nkupe mfano,

View attachment 1396842
View attachment 1396843
Tuletee na takwimu za za sasa za real GDP (PPP)
 
Nenda kawaambie wale hiyo GDP kama hawatakutoa ngeu.

Ndio maana nakwambia unaupungufu mkubwa katika uelewa wa haya mambo ya maendeleo.

GDP is still a good way to evaluate, sure yes people dont eat GDP but its still a nice way to track the countries performance! tuachane na hilo , what about the national budget? still a bad way to track unataka kusema? do you see that gap! na kelele zote tunapiga mtandaoni ila bado tmeshindwa kuandaa budget kubwa, unajua sio kwamba those guys hawana pesa! wana tatizo la ufisadi, ela znaishia kwa watu wachache

ndo maana nakwambia we still have a long way to go
 
Nibishane na wewe usiyejua kitu. Are you kidding, tafuta mpumbavu fulani ukabishane naye, hapo mtakuwa sawa.

ok then Tanzania is the richest country in Africa and the most developed! are you happy now
 
kwa nini Kenya na siyo Botswana?

Tuletee na takwimu za za sasa za real GDP (PPP)

thats a good question, simple answer, still underdeveloped in tech! how can you setup a tech meeting in singida while unajua wanasubiria sera za kuwakomboa katika kilimo? Tanzania 70% ni kilimo, unataka uje kutrade tech na watu wakilimo? thats madness, ulishawahi kuskia kiongozi yoyote mkubwa katika field ya tech anakuja tanzania? ziara zao hua znaishia nigeria, south africa and kenya! These guys wapo mbali sana, mfano katika uchaguzi mkuu kipindi obama anagombea walitumia USHAHIDI TECH kutoka kenya!

last but not least, mnafanya kazi kubwa kuwaaminisha watu kwamba tanzania is rich than kenya while ata kuandaa budget kubwa hatuwezi, izo pesa mnazoziongelea zko wap? unajua most people suffer from self acceptance! if your poor hauwezi kusogea kama hautajipresent as poor, unataka kusogea mbele alafu una kiburi, wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom